[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hunifikii mie.Dogo mimi ni mrefu, achana na mambo ya [emoji151] japo na wewe ni mrefu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa vile vidole nakubali umenizidi urefu
Mimi viatu virefu nimeachana navyo
Nikivaa nakuwa ngongoti[emoji23]
Kabisaa kuzaa raha, ila sio wote wanakula raha hizo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wajukuu zangu wameamua kunipeleka Kliniki ya Macho kwa [emoji928]
Raha ya kuzaa hiyo jirani [emoji85][emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]
πππ Unataka nawe kuja kumuona staff wangu specialWapi hapo mama mchungaji, mbona sipaonii?
Jamani Saint Anne unataka Chata unapenda radha?Kuna sehemu zinauzwa kumbe zenye hiyo chata?
Afu hunenepi woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wooooooooooooiowwwwwww shouzzzzzzzz ake, hadi nimejisikia nafuu kukuona jomoneeeeh, [emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]Nimewamis sana humu!
Abeeeeeeeh shouzzzzzzzz ake, nipo hapaaaaa [emoji4][emoji4][emoji8][emoji8][emoji8]
Mama mchungaji ananionea sana leo yaani naambulia za uso tuuππππ Unataka nawe kuja kumuona staff wangu special
Kwa urefu huo Saint Anne utasema uliibiwa kutoka Kanda MaalumuππΆ
Leo ni good day ehhh?Lizzy karibu tu print makaratasi View attachment 2159087
usiwaze mdogo wangu mama la mama mjengoni!! mwite na cocastic na wengine... I do miss them alot!Boss lediiii mjengoni[emoji91]
Nilikumisss hadi basi.
Naona kama Kuna kitu nakikosa usipokuwepo[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Bora umekuja boss ledi wetu utupie maselfie humu Uzi uchangamke.
acha tuu mie mwenyewe nimeambulia nyoyaaa tu.. sema naaenda muona labda hapo tu ndio nimekuzidi ππMama mchungaji ananionea sana leo yaani naambulia za uso tuuπ
Na mimi nipo mkuu
Kwa chakula gani haswa ninachokula ninenepe??Afu hunenepi woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Juzi na Leo[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mwalimu mkuu naomba uniombee kwa staff wako anifanyie wepesiacha tuu mie mwenyewe nimeambulia nyoyaaa tu.. sema naaenda muona labda hapo tu ndio nimekuzidi ππ