Najua ila mvivu na nasubiri ninunuliwe yangu za watu za kuibia staki miye!!ntakaa kushoto tuu labda kwa dharura mnoo...!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi unajua raha ya kuendesha ndinga wee?
Sawa Haina shida, tuachie Vijana venye ngozi inatelezaMkuu katika umri huu wa kula dawa za presha purukushani na gradyueti nitaziweza wapi? Waongozeni huko hao wenye digrii mkuu. Hata mimi ujanani niliwaongoza tena mpaka wenye Ph.D...[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]usijali ipo nyingine special kwa mitoko ya kishua hyoo!!!utaipendaaIle kofia yako ya siku Ile usisahau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa.Najua ila mvivu na nasubiri ninunuliwe yangu za watu za kuibia staki miye!!ntakaa kushoto tuu labda kwa dharura mnoo...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Boyfriend anashindwa kukununulia hata IST ?Najua ila mvivu na nasubiri ninunuliwe yangu za watu za kuibia staki miye!!ntakaa kushoto tuu labda kwa dharura mnoo...!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Hongera Sana Kwa kuwa mzima Mkuu, kinachoendelea kutokea barabarani kinatiishaMamtoni
Unyamwezini
[emoji1787][emoji1787]
Nina likizo[emoji1787]Hongera Sana Kwa kuwa mzima Mkuu, kinachoendelea kutokea barabarani kinatiisha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna hapa lol.Boyfriend anashindwa kukununulia hata IST ?
Hahaaaaaa Ila vizuriNina likizo[emoji1787]
Unacheka nini IST hata used mill 7[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna hapa lol.
Wee unaiona ndogo eti eeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unacheka nini IST hata used mill 7
😁😁😁😁🙈Mwenyeji kwa hili andiko, naomba nikutoe out,
Umejua kukosha moyo wangu, hivi nikupe nn?
Eeeeh ndyooooooh usijar. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
Nasubiria tarehe, muda & location tu hapa [emoji2316][emoji847]
Atanunua tu muda bado!!!mambo taratibu!!!Boyfriend anashindwa kukununulia hata IST ?
Aminaaaa mama lao
Ila mmecheka sana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]sijui umewaza nini!Boyfriend anashindwa kukununulia hata IST ?
Uyu fortnox kanichekesha Sana'a![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mbavu cna hapa lol.
Hamna mkali wangu utani tu ila mchakarikaji haez shindwa hio [emoji38]Ila mmecheka sana[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]sijui umewaza nini!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Nakuelewa sana tu but twapasa turidhike na kidogo kilichopo mda ukifika hakuna namna tutapata tu!!![emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]kwa sasa Mimi nna tz 11 tu!ndo maana kutwa najifungia ndani miye!sipendi kutoka tokaHamna mkali wangu utani tu ila mchakarikaji haez shindwa hio [emoji38]