Jiongeze mzee tafuta katoto kabichi kakukupa dawa age ikienda [emoji38][emoji38]Agemate wangu kaoa kabinti kadogo keupe. Do you think what I am thinking? [emoji848][emoji848][emoji848]
Wanaume hatuzeeki [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2158519
Hata mimi lakini si bora hata miguu mtu unavaa viatu mimi vya mikononi tu huwa natamani hata nivae gloves ila siwezi [emoji3][emoji3]Tumsifu Bwana wa majeshi.
Mimi vya miguu hata kuviangalia naogopa.
Amechoka kuishiAgemate wangu kaoa kabinti kadogo keupe. Do you think what I am thinking? [emoji848][emoji848][emoji848]
Wanaume hatuzeeki [emoji123][emoji123][emoji123]
View attachment 2158519
Nawaza kuwowa na mimi [emoji16][emoji16][emoji16]Unawaza nini?
Hako kabinti keupe, hauna picha yake?
Haiwezekani. Nipe invitation Mkuu.Misheni hapa Misungwi mulangira. Mikoani huko mnasemaje?
[emoji1787]Hata mimi lakini si bora hata miguu mtu unavaa viatu mimi vya mikononi tu huwa natamani hata nivae gloves ila siwezi [emoji3][emoji3]
JizaziNimekuzidi[emoji846]
Naanza kukutaftia ka- graduate kamojaNawaza kuwowa na mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Picha ya kabinti keupe ngoja tusubiri siku ya harusi hiyo Machi 24...
Labda unakuwa haujaamua tu kuviweka Ila ni vizuriNkamu huonagi picha zangu nyingi, vidole havionekani?
Ushauri bora kabisa huu tangu kuumbwa kwa ulimwengu. Hata Abiudi Misholi hawezi kutoa ushauri bora kama huu...Nitauzingatia mkuu wangu [emoji16][emoji16][emoji16]Jiongeze mzee tafuta katoto kabichi kakukupa dawa age ikienda [emoji38][emoji38]
Hakika, na ukijifanya mbishi hadi meza ya Bwana unazuiliwa kushirikiUnazuiliwa getini au unapewa kitenge!![emoji2]
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Eeh mbona unawowa kabisa Mtumishi. Cha muhimu nanhii tuπππππNawaza kuwowa na mimi [emoji16][emoji16][emoji16]
Picha ya kabinti keupe ngoja tusubiri siku ya harusi hiyo Machi 24...
Graduate hatutawezana. Mwisho fomu siksi na kawe 35 - 55 yrs. Sichagui kabila wala dini [emoji16][emoji16][emoji16]Naanza kukutaftia ka- graduate kamoja
Picha zangu nyingi mikono inatokea imepinda;Labda unakuwa haujaamua tu kuviweka Ila ni vizuri
Nanhii nini Mtumishi? Usiniharibie upako pulizi...Leo nimetakatifika sana na sitaki kabisa vya dunia hii nondo na kutu waharibupo [emoji123][emoji123][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Eeh mbona unawowa kabisa Mtumishi. Cha muhimu nanhii tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Ni kweli tunajali hayo uliyosema ingawa swala la stara la uvaaji ni muhimu piaKwasababu tunajali sana yale yanayoonekana kuliko yasiyoonekana. Pleasing/showing off to others badala ya Mwenyenzi Mungu mwenyewe.
Nashukuru kwa kunitukana [emoji120][emoji120][emoji1787]
Mbona vizuri
Au nina kengeza lililokolea sikuona vizuri?
Khaa [emoji1][emoji1]Picha zangu nyingi mikono inatokea imepinda;
Aah kikubwa uhai Mtumishi; umewaza nini?ππππNanhii nini Mtumishi? Usiniharibie upako pulizi...Leo nimetakatifika sana na sitaki kabisa vya dunia hii nondo na kutu waharibupo [emoji123][emoji123][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Nitakulipa 50,000 njoo unifanyie π€ͺπ€ͺMie je? [emoji23][emoji23][emoji23]