Nice observation mkuu. Nobody cares about mavazi. Tena siku zingine hata mchungaji mwenyewe anatinga madhabahuni na jeans mchaniko hizi za kisasa na vitisheti vya kubana. Nadhani ndiyo kwenda na wakati sijui.
Ila mimi binafsi siwezi kwenda kwa Mungu shaghalabaghala. Ni pigo za ki-Abiudi Misholi mwanzo mwisho. Heshima!