π¬π¬π¬ sikumbuki mala ya mwisho nimeugua laini.. zaidi ya stress na misongo ya mawazo inayochoshaga mwili, nikisema naumwa ujue mtu namla fix ili stoy ziwe fupi au sitaki kufanya kitu au na kwepa kitu, namshukuru Mungu .. ukimwi wenyewe nilipimwa mwaka jana kwa mbinde kweli kweli ila body checkup ya mwili sana nakumbuka nilifanya hivi karibu katika test zote walikuta sina mafuta mwili.. ila kila kitu kilikuwa okay
Ukweli namshukuru sana Mungu. Kuugua uzalishaji mali hupungua na ni hasara pia. Ila Mungu ni mwema siku zote hutuepusha na majaali, magonjwa na mengineyo
Ukweli namshukuru sana Mungu. Kuugua uzalishaji mali hupungua na ni hasara pia. Ila Mungu ni mwema siku zote hutuepusha na majaali, magonjwa na mengineyo