Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahaha, ukawaambiaje chief?
niliwaambia waende popote wanapotaka wasi nisumbue sumbue, na hawawezi nifanya kitu. Nikawaambie waache upuuzi wa kutishana kisa elfu kumi πŸ˜€πŸ˜€ nikawaambi wakaangalie history ya miamala yangu ya m-pesa kama mie wa kukimbia elfu 10.. ukweli nilikuwa vibaya kimoyo moyo nikasema buku ten inanitoa utu alafu vinapiga videmu tu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ songesha napo kukawa na deni sema wao waungwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…