Hebu leta hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdo mdo tunaendaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!ngoja nilete species ya misenyiii
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Huyo nguruwepori atakayejichanganya kwangu amekwisha[emoji23]Mtakatifu unavyoongea sasa. Subiri uingie ngomani bana - ngoma ya vurugu. Ngoma isiyo na mpangilio. Ngoma ya wehu (in Kezilahabi's voice), yenye midundo mchafukoge. Ngoma ambayo mchezaji mwenza ni "guruwe pori". Kama nakuona yaani na huu ubishi wako itakuwa burudani tosha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Nimejaribu tu kuvaa viatu vya huyu dada.Atajua hajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilishablok kitamboo wee!aniharibie miyee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]akuuuhhh!!!Kabisa
Na hakuna kumpa nafasi huyo bwege aje kubwabwaja lolote
Katiba mpya ni muhimu
Utajua hujuii!!Kazi ninayo mbona; utafikiri sio mtoto wa Abiud
Huyo mla senene huyu dah!Wee shindwa niko kungine kabisaa kwa bishanga[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]hapa nimefika sitoki mpk yesu arudi kututwaaa
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Natamani ningeukuta unaanza
Sasa kwenye ndoa kuna mbivu na mbichi, subiri uingie utajionea, mdogo ako nakuzoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimejaribu tu kuvaa viatu vya huyu dada.
Kuna wanaume wajinga duniani hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee ni mzazi mwenza huyoooNilishablok kitamboo wee!aniharibie miyee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]akuuuhhh!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Mimi hata hiyo jeuri ya kupanua domo lake na kubwabwaja asingeipata[emoji23]Nilishablok kitamboo wee!aniharibie miyee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]akuuuhhh!!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
D 🥰🥰🥰🥰
Kuna wakati utafikiri kamekunywa kumbe hakuna ni upambe tu [emoji16][emoji16][emoji16]Khaaaaaaaaa
Shemu umeongea kifasihi sana ila mmekuelewa [emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]!!!!yaani Weee kaaahh!!unafaa kua mwl wa kiswahiliMtakatifu unavyoongea sasa. Subiri uingie ngomani bana - ngoma ya vurugu. Ngoma isiyo na mpangilio. Ngoma ya wehu (in Kezilahabi's voice), yenye midundo mchafukoge. Ngoma ambayo mchezaji mwenza ni "guruwe pori". Kama nakuona yaani na huu ubishi wako itakuwa burudani tosha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099]
Hizo mbichi atakula aliyezileta[emoji23]Sasa kwenye ndoa kuna mbivu na mbichi, subiri uingie utajionea, mdogo ako nakuzoom tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndyooooooh shouzzzzzzzz ake, totolito lenyewe,Haya usiku mwema mlale unono!
#2016 huko bushi fulani hivi!View attachment 2155957
Ukiwa free utasema basi[emoji23][emoji23]
CuteeeeeeHaya usiku mwema mlale unono!
#2016 huko bushi fulani hivi!View attachment 2155957
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sikuwezi.Hizo mbichi atakula aliyezileta[emoji23]
Sili mbichi mimi