Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa namjibu hadi mwisho

Namuuliza nani,?
Kanitajia jina hata silijui..
Namuuliza ndio nani anasema hunikumbuki?
Mimi ni Fulani Fulani

Nikaona nimsikilize,
Anauliza Niko wapi nikamtajia.
Anasema yeye yuko mahala fulani,anafanya kazi huko na kampuni gani sijui [emoji1787]..anatafuta mashine..
Hizo machine Mbeya wanauza bei rahisi kwahiyo amenipa dili ili tupige Hela..
Ataniunganisha na mtu,huyo anaziuza mashine...nimpigie aniuzie halafu kwenye risiti aandike hela pungufu[emoji23]inayobaki juu tunagawana.
Nikipiga nimwambie kaka Daudi amenipa namba

Anauliza nikutajie namba??
Nikamwambia nitumie kwenye msg..
Akatuma,akapiga Tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haki ya nani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka Mimi.
Huyo yupo humu

JF ni kichaka

Ila mwambie awasiliane nami

Nimpe salaam zake[emoji2][emoji1787]
 
View attachment 2155583
Ni jukumu letu sote kuendelea kukumbushana umuhimu wa kuwa na afya njema Kwa watu wa Rika lote. Though msisitizo zaidi uendelee kutolewa Kwa vijana wanaochipukia.

Unapokuwa unaugua mara kwa mara huathiri kipato chako pamoja na kuathiri shughuli zako za maendeleo Kwa ujumla, kwani itakulazimu kuhudhuria kazini mara chache wakati muda mwingi ukitumia hospitali kujiuguza.

Sio HIV tu bali hata maradhi mengine pia yachukuliwe Kwa uzito unaostahili hasa Pressure, Kisukari, Moyo, Saratani n.k hasa kwa sisi Wazee[emoji87]

God is good all the time [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Umelipwa bei gani[emoji849]

Kunipima mimi

Mnilipe milion 10[emoji3][emoji16]
 
Anakufwa kabisaa na akijua nimeongeza mbegu kungine atakufaa[emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]anasema usizae tena kwengine mweehhh!![emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Usizae??
Kichaa sana huyo

Zaa mama hadi serikali iingilie kati
Screenshot_20220312-230801_WhatsAppBusiness.jpg
 
Back
Top Bottom