Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwenye kula sijawahi kujibana, had naambiwa mbna sinenepi, naishia kujibu wembamba ndo mwili wangu, huku kwikwi kwa mbali, n huzuni woiiiiiiiiih
Yani mimi nilikua nakula Jamani yani nakula mpaka najiogopa..sasa nilinenepa sana nikaanza kuchambwaaa uuwii naulizwa wee mwanamke huu mguu wa binadamu wa tembo! Mi najichekea tu[emoji1787][emoji2960]!!
 
Yani mimi nilikua nakula Jamani yani nakula mpaka najiogopa..sasa nilinenepa sana nikaanza kuchambwaaa uuwii naulizwa wee mwanamke huu mguu wa binadamu wa tembo![emoji1787][emoji2960]!!
[emoji16][emoji23][emoji23]kaka atulir hukoo!!tembo kwioo!!!hajui kua tukizaa tunatanukaa

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Yani mimi nilikua nakula Jamani yani nakula mpaka najiogopa..sasa nilinenepa sana nikaanza kuchambwaaa uuwii naulizwa wee mwanamke huu mguu wa binadamu wa tembo! Mi najichekea tu[emoji1787][emoji2960]!!
Guu la biaaaaa[emoji2956][emoji7][emoji7][emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Tuoneee[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Yani mimi nilikua nakula Jamani yani nakula mpaka najiogopa..sasa nilinenepa sana nikaanza kuchambwaaa uuwii naulizwa wee mwanamke huu mguu wa binadamu wa tembo! Mi najichekea tu[emoji1787][emoji2960]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unawajibu wa nyati. Khaaaah.
 
Back
Top Bottom