Selfika na JF: Snap it. Show it

Boss ledi pia hana japo anasema analo
Sasa nilitaka aweke ili wenzangu mnisaidie ,tumwambie boss ledi ukweli kuwa ana flat tummy
Na hapo ana watoto?tumbo dogo hadi raha[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji7][emoji7]
Anne niache [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]! nasubiria yako usinizuge hapa!!
 
Anne niache [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]! nasubiria yako usinizuge hapa!!
Wewe dada ni mtu na nusu[emoji7][emoji7][emoji7]
Ngoja nikusifie kidogo

Mungu alikuumba mapema baada ya chai
Umekamilika kila idara
Japo bebi fesi sijaiona bado jamani[emoji2296]
Ila ulivyo na roho nzuri wewe najua unaweka hapa sasahivi[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Tumuaibishe shetani[emoji108]
 
Anne unaninafikia hadi nagundua ujue!!!
 
Najua shem. Hapa tunataniana na kucheka tu basi...kasoro huyo mla senene. Nammaindi kishenzi basi tu. Bado kakwama mkoani au keshatia kambi? Kama namuona vile [emoji51][emoji51][emoji51] Nataka urudi kwenye ukoo wa Babinza [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…