Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Aisee Abiud ana nyimbo nzuri sana za kuabudu. Kanichekesha sana baba JoySijui kwa nini kamchagua Abiudi Misholi. Nina CD zake kama nne hivi imebidi nikazitafute yaani. Huu wimbo wa Tenda Miujiza Naupenda sana. Nimeusikiliza huku nacheka yaani. JF bana dah! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2153419
Nauzaga sokonimihogo mitamu 😊😊
Mavazi yake[emoji1787]Aisee Abiud ana nyimbo nzuri sana za kuabudu. Kanichekesha sana baba Joy
Hahaaaaaa. Raha unaipata kwa kujengea picha ya yaliyofunikwa.Lakini imechora
Ramani zote
Neema zinaonekana
Tumbo flat
Vijihips
Kishundu ingawa kimejificha
Yaani kama tako la nyani
Unavyopishana nayo[emoji1787]
Muacheni Mtumishi wa MunguMavazi yake[emoji1787]
acha tulale.. ramani hazisomi 😎😎Nauzaga sokoni
Eeh pumzika mdogo angu. Kesho nayo sikuacha tulale.. ramani hazisomi 😎😎
Mie huyu kesho ipi... acha kujizeesha we mtoto 😃😃😃😃 kesho udamkie ofisiniEeh pumzika mdogo angu. Kesho nayo siku
Sipendi ujue[emoji1787]Ooh thank you for the tag ..
Long time no see ?
Akina nani haoWapo moro hapo[emoji1787]
Wanajiita walimu
Asubuhi asubuhi wanaomba lift
Wawahi shule merera
Jichanganye[emoji1787]
Hakuna rangi utaacha ona
Unaenda viwanja vyako? Sawa bossMie huyu kesho ipi... acha kujizeesha we mtoto 😃😃😃😃 kesho udamkie ofisini
Utajua hujuiAkina nani hao
Kalale wewe kwenye hostel za masista. Mzee tender niliyokutumia umepata?Utajua hujui
Naangalia mpira
Hapa chipukizi[emoji1787]
KiinglishKalale wewe kwenye hostel za masista. Mzee tender niliyokutumia umepata?
viwanja tena.. nipo chumbani 😴😴😴Unaenda viwanja vyako? Sawa boss
HahaaaaaaKiinglish
Hakipandi
That why (sijui nimepatia)
Hujaona my like (sijajua kama imekaa sawa)
[emoji1787][emoji1787]
Hahaaa!!!!kaah una visa weyee!!Nimeona aisee bonge la kofia kinyamwezi Sana na hapo Simba umetisha Sana hivi umeolewa reymage
Tupia beste[emoji1787]