Sema ulikula bata mwanangu.
Ila ndio vizuri bwana kuzaa mapema..
Usiniambie umekuwa mbinafsi kiasi hicho na kuamua kuwa singo baba🥲
Mbona yule dada hana tatizo.
hamna bwana pombe kwa kiasi Kama maandiko yanavotaka ule usomi usomi Mara kazi bank wale wahuni wanaochomekea bank wakanizidi swaga Mimi mshamba wa isimani