Selfika na JF: Snap it. Show it

Naona unatiririka hoja zako chief mkwawa
I wish watu wangekusikia sasa unavyozidadavua..wangecheka wazimie ulivyo comedian.

Halafu ukimaliziaga na ile sentensi kwamba yaani hiyo siku ya mwisho hesabu zitapigwa kwelikweli.,itakuwa patashika.
mpaka scientific calculator mungu atakua nayo
 
mpaka scientific calculator mungu atakua nayo
Anakuita pale ehee billdrago
Anafungua comment yako hii ya sime
Nadhani ataangua kwanza kicheko.. labda anaweza kukuhurumia kidogo kwamba ulikuwa busy kutafuta hela hukukesha kanisani kusoma maandiko.(kidding)
 
Anakuita pale ehee billdrago
Anafungua comment yako hii ya sime
Nadhani ataangua kwanza kicheko.. labda anaweza kukuhurumia kidogo kwamba ulikuwa busy kutafuta hela hukukesha kanisani kusoma maandiko.(kidding)
Acha tu mkuu siku hiyo nikipataga picha nachoka kabisa Kuna watu ingawa kawafufua watakufa Tena pale faili lao linapofunguliwa..halafu unakufa kwa presha anakufufua Tena mpaka hesabu ikamilike hio hakuna kulala huku juma nature akiwa anatumbuiza kibao chake
 
Acha nikale sasa baada ya kupiga ma hiroshima hadi mtu kapotea
Sikufichi, amekupa ushindi wa buree tyuuh, wee mwenyewe unajua nn n nn, afu nlikua sijakufahamu vizuri,

Wee hapo una asili ya dharau, kejeri, majivuno na kiburi, samahani kwa kukuambia ukweli, sijataka kuwa mnafiki. Nimekuambia wazi, please acha hizo tabia. Sio fresh wala nn.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sasa nahangaika na mapepo ya nini?
 
Okay malizana nae Kisha uje unieleze namna gani "tulishakombolewa" na hivyo we shall live as we wilt.
 
emu wekeni picha 🀣🀣
 
Walokole
Waliokoka kwa 100%
Wanayoyaishi maisha ya utakatifu at least kwa 85%
Nguo fupi kwao ni dhambi/ haijakaa sawa kimaadili.
Walokole wa kizamani hao ndio hawa ambao wanaleta kelele ya kulazimshana kuvaa majuba.. akili zao bado zina giza.. wamekwamaaa.. hao ni kama mafarisayo wanafikiri wana mpendeza Mungu kwa matendo yao au mavazi au kazi zao.. watu wanafikiri kuwa mlokole ndio kuwa fala wa dunia hiii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anakuambia hebu rudi bwana
Kuna hesabu nyingi bado hatujapiga..
Mara ghafla calculator inapata moto inazima.
Inafika zamu yako anasema Sasa wew hebu kaa kwanza pembeni nikishakula lunch ndio nitaanza na wew
 
Hunijui hata chembe aseee... umetoa bonge la bokoo.. ndio kamekutuma uje ujazilizie nyama nyamaaa eeeh.. sijawai kuwa na dharua na sijawai kuwa na kejeli kwa wanao nijua nje ya JF pekee ndio wanao weza jua ni mtu aina gani.. hutokaa unijue huna capacity ya kunijua 😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…