Nipo buzzy nasoma mahubiri, hebu niache kwan lol.Ombi langu
Inakuwaje
Imeisha vita tayari.. hapa namnalizia tu.. nichukue majimbo yote ya Ukraine πππ
Sasa umeshinda kutetea dhambi nifure kitu gani hapo?Basi ndio ivyo umefuraaa hapooo.. usivyopenda kushindwa
Poaaaaaah bosskhaswaaaaaaaaa bgmy road boss
Mashoga dhabu yao ipo clear kwenye maandiko hiyo huitaji nguvu kubwa kuelewa.. But Kuna neema na huruma za Mungu.. sio kila shoga ni shoga.. wengine ni mashoga kwasababu wapo under influence ya devil himself.. Mashoga wengi wanaacha na kuwa watu wazuri kwa Mungu na kumtumikia Mungu..Kwahyo na wazungu wanaotetea ushoga wana dhambi?leo mmekamatwa woiiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
dhambi gani nimetetea πππ huna hoja huna unachojua kwa habari ya dhambi na haki.. wewe sio Roho Mtakatifu.. dhambi ipo clear kwenye maandiko, na Roho hukumbusha yoteSasa umeshinda kutetea dhambi nifure kitu gani hapo?
Ushinde kwa kutetea dhambi halafu nifure mimi?
Hebu kuwa siriazi kidogo
Hayo yote uyaeleze wee, mie nataka ufahamu kutoka kwako,Kwanza dhambi zipo kwenye category tatu.. Sin against God , Sin against yourself na Sin against your beloved ( ndugu).. unataka nianzie wapi.. pia nikuulize swali? Maana ya dhambi ni nini?
Kwa walokole hao sijui kina CalvaryMavazi Ni culture tu Ina vary kutokana na sehem huwez conclude kua kuvaa mavaz fulani Ni dhambi
Utamaduni wa Msukuma ni polygamy. Je wasukuma walipaswa kuhubiriwa ukristo na kuendelea na utamaduni wao?Dogo anaishi sijui wapi.. swala mavazi lipo sana kitamaduni na ki mazingira.. kuna wadada na wamama nawajua wapo deep deep spiritual and Holy ila ukikuta min wanazo piga utapenda.. au suruali na wanapendeza.. mazingira waliyo kulia na tamanduni zao.. aende kuangalia kanisa la Joel Osteen.. labda ataachana na itikadi zake
Ukishafahamu unataka kufanyaje? Mungu mwenyewe kwa majira yake ikimpendeza atakupa ufahamu.. na isipo mpendeza kimbembe kina kuhusu.. ππππππHayo yote uyaeleze wee, mie nataka ufahamu kutoka kwako,
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
walokole gani hao.. mbona walokole wengi wanachapa mini, skin jeans pendo etc.. na wapo on fire kuliko wavaa majuba ππKwa walokole hao sijui kina Calvary
Nguo fupi automatically kwao ni dhambiβ¦ nafanya nao kazi kwa 100% nakomaje π€£
Hawa madogo wako shallow Sana mkuu ndio maana Ni rahisi kupigwa sound na wachungaji uchwara wazee wa mafuta and the likes
Wewe jamaaHawa madogo wako shallow Sana mkuu ndio maana Ni rahisi kupigwa sound na wachungaji uchwara wazee wa mafuta and the likes
Ndio Mambo aliokua anayasema 9.8ms squared elimu ya dini inataka uelewa mpana otherwise wanakua wanameza tu Kama vilivo wanawamezesha pia hawajasoma chochote kuhusu theology wanasema wameoteshwaKwa walokole hao sijui kina Calvary
Nguo fupi automatically kwao ni dhambi⦠nafanya nao kazi kwa 100% nakomaje
Hapa umenitoa.. nikasake chakula πππ
Mbona nilishakupa ushindidhambi gani nimeteteahuna hoja huna unachojua kwa habari ya dhambi na haki.. wewe sio Roho Mtakatifu.. dhambi ipo clear kwenye maandiko, na Roho hukumbusha yote
kadogoo Saint Anne nakaambia nimekula shule for 10 years kana ibeza.. hiyo shule ndio imenipa kufahamu nyeusi na nyeupe.. walokole wengi wavivu kujisomea na wavivu hata kwenye maisha wao ni wazee wa fire fireee wakifikiri mambo huja automatic ππππ..Ndio Mambo aliokua anayasema 9.8ms squared elimu ya dini inataka uelewa mpana otherwise wanakua wanameza tu Kama vilivo wanawamezesha pia hawajasoma chochote kuhusu theology wanasema wameoteshwa
Ushindi kama umenipa usi ni quote ndio nitajua imeisha ili tuendelee kutupia selfi matata ππππMbona nilishakupa ushindi
Bado unahangaika na nini??
Eti fireeeeeee fireeeeeeeeeeee no ofence Ila na wengi wao uchumi hua unasua sua Sana wako too conservativekadogoo Saint Anne nakaambia nimekula shule for 10 years kana ibeza.. hiyo shule ndio imenipa kufahamu nyeusi na nyeupe.. walokole wengi wavivu kujisomea na wavivu hata kwenye maisha wao ni wazee wa fire fireee wakifikiri mambo huja automatic..