Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,761
hakuna mahala nimesema kutembea uchi πππ.. ila style ya mavazi na design inategemea na tamaduni za watu.. mavazi na design sio tiketi ya utajatifu.. acha totoz zile vipedo vikaptula vimini.. vipunge upepo.. ni swala la kuchagua na sio swala la kunyoosheana vidoleHakuna nilipofail
Ni watu tu wanajitoa ufahamu na kufuata mkumbo.
Kama wewe kwako mavazi hayana uhusiano na wokovu basi ni sawa,,siku moja moja anza kujitupia tu kitaa uchi ..it has nothing tl do with your salvation.
Hili tulishakubaliana kutokubalianaUtapata tabu sana; Anza kuzoea mapemaaa tu
Hakuna kitu weweee... Mkristo ni roho.. tamaduni zinaonesha aina ya mavazi.. ebu anzaga kuvaa kama kina Mariam Magdalenaa basi ili uwe Holy Hasaaa na Kipara ngoso aanze kuvaa kama kina Petrol ππππ..Bado hizo scenario siyo guarantee ya watu kujustfy uvaaji wao wa hovyo.
Na hapa ndipo wakristo wengi tumepigwa Gap na wenzetu wa upande wa pili kwa sababu tu za kijinga za kujitoa ufahamu.
Ukweli usemwe na wala hakuna mahala tumenyoosheana vidole.hakuna mahala nimesema kutembea uchi.. ila style ya mavazi na design inategemea na tamaduni za watu.. mavazi na design sio tiketi ya utajatifu.. acha totoz zile vipedo vikaptula vimini.. vipunge upepo.. ni swala la kuchagua na sio swala la kunyoosheana vidole
Hakuna kitu kwako aisee,,Hakuna kitu weweee... Mkristo ni roho.. tamaduni zinaonesha aina ya mavazi.. ebu anzaga kuvaa kama kina Mariam Magdalenaa basi ili uwe Holy Hasaaa na Kipara ngoso aanze kuvaa kama kina Petrol..
Wewe usie vaaa, usimuhumuku anae vaaa.. umeona mambo sasa ππππ mtoko huoHili tulishakubaliana kutokubaliana
Hata mzidishe mahaba vipi,,katika hili haiwezekani..nimekuwa mkate wa jiwe usiolainika kwenye chai.
Mimi kuweka weave kichwani bado si tiketi za watu kuvaa hovyo.Wasabato hata nywele tu.. sasa huyo ana weka manywele fake ambayo kwa wasabato anaonekana hana roho tuu.... issue ya mavazi panaa.. na haiwezi amua mtu kwenda kuzimuni.. acha watoto wapendezaa.. na vimini.. tuone kilichomo
Ooh! yea.. ni katika kubariziUkweli usemwe na wala hakuna mahala tumenyoosheana vidole.
We vipedo tu hata wakitembea uchi ni sawa lakini kikubwa kweli ipo wazi na kila mtu anajua.
Asee
πππ ebu leta kaandiko kana ko suport uvaaji wa vi bukta na vipedo kuwa ni nomaaaMimi kuweka weave kichwani bado si tiketi za watu kuvaa hovyo.
Ajabu ni pale unaposhindwa kutambua kuwa Neno la Mungu ni upanga ukatao pande zote.
Kwahiyo hatulisemi tu ili limpe favor Anne.
Naye kuna muda akijitoa ufahamu linamchinjia mbali.
ππππ dogoleee anataka kuturudisha enzi za makobazi..Asee
Mbona amevaa ki staha kabisa
Ni dhambiMimi kuweka weave kichwani bado si tiketi za watu kuvaa hovyo.
Ajabu ni pale unaposhindwa kutambua kuwa Neno la Mungu ni upanga ukatao pande zote.
Kwahiyo hatulisemi tu ili limpe favor Anne.
Naye kuna muda akijitoa ufahamu linamchinjia mbali.
Kuna mstari mdogo sana kati ya maonyo na hukumu.
Nipo rafiki
πππ mtu mwenye malezi mema anakuajeKuna mstari mdogo sana kati ya maonyo na hukumu.
Nenda ukajifunze hilo.
Hiyo mitoko wala hainishangazi chochote zaidi huwa naona kama watu waliokosa malezi mema kwao.
Ndiyo ni dhambiNi dhambi
Mtoto wa kike kuweka hayo makitu
Kichwani
Mtafute sasa mwimu wa Neno la Mungu akufundishemtu mwenye malezi mema anakuaje
ebu leta kaandiko kana ko suport uvaaji wa vi bukta na vipedo kuwa ni nomaaa
Mahaba yamekuelemea