Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Na zile kaptura na vipedoHizo sio shida zetu; kama najiona vile utafikiri tumetoka mbeleeeeeez. Ngoja twende Ile vacation yetu, utajua haujui
Shusha vitu hapa boss lediHahahaaa...,.... umeanza!!!
Nimetingwa mdogo wangu!!Shusha vitu hapa boss ledi
Huu uzi unatia huruma bila picha zako
Pole sanaNa zile kaptura na vipedo
Mbona ntamchoma mwenzio nyumbani,maana baba ana msimamo kama wangu yule mzee
Kuvaa kwa staha ni uzamani?Pole sana
Itoshe kusema
Unawaza kizamani
Acha iwe hivyoPole sana
Itoshe kusema
Unawaza kizamani
ki staha ndio mtu anavaaje?Kuvaa kwa staha ni uzamani?
MweeNimetingwa mdogo wangu!!
πππ Wokovu na mavazi wapi wapi.. una fail sanaaa katotoo kazuri... mavazi yapo hasa na eneo ( tamaduni).. kuna mavazi based na tamaduni zako si sawa na tamaduni zao.. ebu anza kuvaa kama mafarisayo au kina mzee peter na Bwana Yesu.... au kina MariamuKuna uhusiano katika ya wokovu na mavazi.
Kama Usingekuwepo basi watu wangeenda tu kanisani uchi ,au basi wangetuma roho ziende huko wao wabaki nyumbani.
Tuone mavazi ya hao wasabato.
Wasabato hata nywele tu.. sasa huyo ana weka manywele fake ambayo kwa wasabato anaonekana hana roho tuu.. ππππ.. issue ya mavazi panaa.. na haiwezi amua mtu kwenda kuzimuni.. acha watoto wapendezaa.. na vimini.. tuone kilichomo πππ
Hivi Kidum yupo jamani?Heaven Sent... ππ Unaipata hii
View attachment 2152788
Sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu sherekea, furahia penzi letu, baby cheza, imba mpenzi wangu, kichuna changu niskize baby
ππ weeeeeee.. kuna machangudoa wana vaa kwa stahaaa unaweza hisi wanaishi mbinguni.. na ku mapisi yanatokelezea kisasaaaa ile kinoma nomaaa sanaaa.. ila ni watatifu hadi Mungu akiwatazama anasema ewaaa majembe yangu.. mavazi na hekalu wapi na wapiii ππππAcha iwe hivyo
Hata Mungu anatutaka tusiifuatishe namna ya dunia hii.
Na mwili ni hekalu la Roho Mtakatifu..
Kama ni hekalu basi unapaswa kuheshimiwa...
Siyo mtu avae tu kama changudoa huku akijifariji kuwa Mungu anaangalia moyo.
Utapata tabu sana; Anza kuzoea mapemaaa tuNa zile kaptura na vipedo
Mbona ntamchoma mwenzio nyumbani,maana baba ana msimamo kama wangu yule mzee
Yupo na jana ameangusha jiwe ππHivi Kidum yupo jamani?
Hakuna nilipofailWokovu na mavazi wapi wapi.. una fail sanaaa katotoo kazuri... mavazi yapo hasa na eneo ( tamaduni).. kuna mavazi based na tamaduni zako si sawa na tamaduni zao.. ebu anza kuvaa kama mafarisayo au kina mzee peter na Bwana Yesu.... au kina Mariamu
Weee ngoja nilisakeYupo na jana ameangusha jiwe ππ
Bado hizo scenario siyo guarantee ya watu kujustfy uvaaji wao wa hovyo.weeeeeee.. kuna machangudoa wana vaa kwa stahaaa unaweza hisi wanaishi mbinguni.. na ku mapisi yanatokelezea kisasaaaa ile kinoma nomaaa sanaaa.. ila ni watatifu hadi Mungu akiwatazama anasema ewaaa majembe yangu.. mavazi na hekalu wapi na wapiii
Kuiona pichu ya mtotoWasabato hata nywele tu.. sasa huyo ana weka manywele fake ambayo kwa wasabato anaonekana hana roho tuu.... issue ya mavazi panaa.. na haiwezi amua mtu kwenda kuzimuni.. acha watoto wapendezaa.. na vimini.. tuone kilichomo