Awwh zimependeza kweli
Eeh hizi kwa kweli nilipata tusifa kwa wapendwaπ€£π€£Awwh zimependeza kweli
Hazijaa sana wala nini .
Heaven Sent fanya manuva mamlaiAwwh zimependeza kweli
Hazijaa sana wala nini .
Ndo najisemea zile na mimi wapi na wapi [emoji28][emoji28] .Eeh butterfly locs ni za kiduu sana, ila nzuri mwenzangu[emoji1787][emoji1787]
Pinned with thanksππππ
π₯°π₯°
ππ
βΊοΈβΊοΈπππPinned with thanks
Huyo msusi anajua aisee ..Eeh hizi kwa kweli nilipata tusifa kwa wapendwaπ€£π€£
Ulivyoibuka sasa?,π€£π€£π€£πHeaven Sent fanya manuva mamlai
Mchakato basi wa chap chapUlivyoibuka sasa?,π€£π€£π€£π
Kuna mjengo na nyumba ya kuishi ipi mojawapoIpo siku na mimi ntajenga tu.View attachment 2150171
Yoyote Jah atakayonibless man.Kuna mjengo na nyumba ya kuishi ipi mojawapo
Lohhhhhhh ππππππππ huyu binti ni mtakatifu sanaa kumfananisha na mzungu makosa.. acha nimfananishe na malaika tu.. kwenye wanawake mia kama huyu unapata mmoja au wawili hawazidi 10.. zaidi ya classic.. yani yupo mbinguni na duniani.. ebu jaribu twaweza changa michango πππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£wanakwapua barua wananiteka wana edit barua alafua bado nakuwa mshenga ila kwa mtu mwingine ππππππ.. lazima kuwe na escort aseee
ππ Malaika wenyewe ninao hapa.. wanasema ilikuwa mistake kuwepo hapa.. wewe ni female angel.. sema mabawa yako hayaonekani kwa macho ya kawaida...Lohhhhhhh ππππππ
Sio kwa sifa hizi 9.8ms squared βΊπππ
Jamani malaika si wanaweza kuandamana?? π³
Endelea tu kumdanganya mwenzio Fortnox afikirie kuna zaidi ya ule mkono wa uzi wa vyakula π€ͺπ€ͺ
HamnaUlivyoibuka sasa?,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji57]
Nah mkuu huyu ni rafiki yangu tu mi ni DUME.Kumbe wewe
Ni dada[emoji848]
Samahani lakini
AsanteNah mkuu huyu ni rafiki yangu tu mi ni DUME.
Ameen brother from another mother.Nakuombea kaka