[emoji38][emoji38][emoji38] we dogo una kipaji Cha uchawa sema hujajua tu [emoji28][emoji28]I'm speechless
Nilisema mimi huyu dada ni mtu na nusu
Yaani ni mtu na nusu na kipande tena[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Vocha za voda na airtel jamani[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mitandao ya kitajiri bando ningepata wapi mie???
Sasahivi naserereka bando wiki nzima [emoji173][emoji173][emoji173][emoji108][emoji108][emoji108]
Kotekote[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Boss ledi ni mtu na nusuuuuu
Boss ledi ni pisi kali
Boss ledi ana roho ya pekeyake
Boss ledi hana uswahili
Boss ledi sifa zooooote zake
Bwana akubarikie na kukulinda mahondaw
Ukapate mafwedha yaani yakatiririke kama mvua
Uzidi kubarikiwa mno katika jina la Yesu[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
CadburyView attachment 2149351
Byeeen...
Kasie Some Food [emoji39].
Nikimaliza hapo natafuna na chocolate yenyewe [emoji39][emoji39][emoji39][emoji56].
Cadbury
Jirani acha nitumie hili baridi vizuri 😊😊😊View attachment 2149351
Byeeen...
Kasie Some Food 😋.
Nikimaliza hapo natafuna na chocolate yenyewe 😋😋😋😇.
Jirani acha nitumie hili baridi vizuri 😊😊😊
Nimepata ka Espresso hapa double
Jirani acha nitumie hili baridi vizuri 😊😊😊
Nimepata ka Espresso hapa double
Ulale unono boss ledi wetu selfika nzima hapana kama weweMuwe na Usiku mwema friends [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]!
Yaani hadi wanaume mnataka tugombaniane vocha hapa anazotoa boss ledi[emoji2296]Ushakula poshoo bahati yako na Mimi ningekua online ningeweka dadek
Niwe chawa wako basi[emoji38][emoji38][emoji38] we dogo una kipaji Cha uchawa sema hujajua tu [emoji28][emoji28]
Ndio mtaani Hali ngumu [emoji38][emoji38]Yaani hadi wanaume mnataka tugombaniane vocha hapa anazotoa boss ledi[emoji2296]
Keto?
Kamekosa bahati leoNaona mmetingwa na weekend...
safi sana [emoji3577][emoji3577][emoji3577]
cocastic wherayuuuu !!!!!!??!!!!!!
Sasa wanaume wazima ndio mgombanie vocha na sisi dada zenu[emoji2296]Ndio mtaani Hali ngumu [emoji38][emoji38]
Ndio mkuu maana vocha Ile haichagui jinsia inaingia kokote tu [emoji28][emoji28]Sasa wanaume wazima ndio mgombanie vocha na sisi dada zenu[emoji2296]
Nishabikie nyumbu?Ngoja upige kazi kwanza kwa mahondaw akikutema nitakusajili Ila itabidi uwe na wew kikazi uwe shabiki wa red devil
Ah wapiNdio mkuu maana vocha Ile haichagui jinsia inaingia kokote tu [emoji28][emoji28]
Sifa ya Chawa inatakiwa vitu anavopenda boss wako na wew uwe huko huko ,, malipo yapo siunajua vijana wa proff rapf hatupimwi kwa macho[emoji38]Nishabikie nyumbu?
Utanilipa bei gani?
Sema ntajitahidi nikupambeSifa ya Chawa inatakiwa vitu anavopenda boss wako na wew uwe huko huko ,, malipo yapo siunajua vijana wa proff rapf hatupimwi kwa macho[emoji38]