Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,961 Heaven Sent said: Tu Tusio na mahips tunapata tabu Click to expand... Hips zenyewe za kilo 50 nazo ni hips??? Ila Kuna mtu ananipeleka mbio kula
Heaven Sent said: Tu Tusio na mahips tunapata tabu Click to expand... Hips zenyewe za kilo 50 nazo ni hips??? Ila Kuna mtu ananipeleka mbio kula
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,962 NaddySL said: Leo ni kuweka Album nzima st. Anne nakusindikiza View attachment 2149082 Click to expand... Nakunywaga wizoo
NaddySL said: Leo ni kuweka Album nzima st. Anne nakusindikiza View attachment 2149082 Click to expand... Nakunywaga wizoo
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 13, 2022 #158,963 Saint Anne said: Wengine si vimbaombao alimalizia ule udongo kidogo uliokuwa umebakia. Sura za kusini naona alimalizia jioni Click to expand... Ukimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao... La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo... Mmebarikiwa sana nyie yaani!
Saint Anne said: Wengine si vimbaombao alimalizia ule udongo kidogo uliokuwa umebakia. Sura za kusini naona alimalizia jioni Click to expand... Ukimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao... La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo... Mmebarikiwa sana nyie yaani!
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,964 mahondaw said: Badae Click to expand... Ewaaa Mungu wetu akutunze mno
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 13, 2022 #158,965 Heaven Sent said: Tu Tusio na mahips tunapata tabu Click to expand... Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli
Heaven Sent said: Tu Tusio na mahips tunapata tabu Click to expand... Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,966 Shimba Ya Buyenze said: Ukimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao... La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo... Mmebarikiwa sana nyie yaani! Click to expand... Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili.
Shimba Ya Buyenze said: Ukimbaombao siyo sifa ya kudumu. Nilishakwambia zaa kwanza vitoto viwili hivi halafu nitafute tuone kama utakuwa bado kimbaombao... La sura kwa kweli silijui kwa sababu mnazifichaga ila kwa kuangalia tu through emojis sijaona tatizo... Mmebarikiwa sana nyie yaani! Click to expand... Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,967 Wigelekelo said: Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli Click to expand... Aache dhambi kabisa
Wigelekelo said: Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli Click to expand... Aache dhambi kabisa
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 13, 2022 #158,968 Heaven Sent said: Naona mnataka kuuona uso wa Mungu Click to expand... Inabidi tu Iwe tu kama musa Alivyoona shingo Huenda nasi tukasema imetosha Lakini tuone
Heaven Sent said: Naona mnataka kuuona uso wa Mungu Click to expand... Inabidi tu Iwe tu kama musa Alivyoona shingo Huenda nasi tukasema imetosha Lakini tuone
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,969 Heaven Sent said: Oooh nimekumbuka Click to expand... Aisee Watu wa Mbeya siwawezi Kwa kumbukumbu
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 13, 2022 #158,970 Saint Anne said: Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili. Click to expand... Uchambuzi wako sasa dah!
Saint Anne said: Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili. Click to expand... Uchambuzi wako sasa dah!
NaddySL JF-Expert Member Joined Nov 6, 2019 Posts 995 Reaction score 5,193 Mar 13, 2022 #158,971 Saint Anne said: Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili. Click to expand... Kazi ya Mungu haina makosa
Saint Anne said: Alianzia kule kaskazini Alipowamaliza sura,akahamia kwetu kuunda miili. Jioni akamalizia sura,na wale akawamalizia miili. Click to expand... Kazi ya Mungu haina makosa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,972 Mjep said: Inabidi niombe ruhusa kwa Pep ili nizichonge hizo kucha nkamu Click to expand... Pep ni nani?
Mjep said: Inabidi niombe ruhusa kwa Pep ili nizichonge hizo kucha nkamu Click to expand... Pep ni nani?
Kashaija72 JF-Expert Member Joined May 18, 2020 Posts 2,522 Reaction score 5,577 Mar 13, 2022 #158,973 Shimba Ya Buyenze said: Bado uko mkoani bro au usharudi Dom? I hope kila kitu ni shwari! Click to expand... Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na mwenyewe haeleweki
Shimba Ya Buyenze said: Bado uko mkoani bro au usharudi Dom? I hope kila kitu ni shwari! Click to expand... Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na mwenyewe haeleweki
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Mar 13, 2022 #158,974 Saint Anne said: Pep ni nani? Click to expand... Baba mchungaji
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 13, 2022 #158,975 Kashaija72 said: Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na reymage mwenyewe haeleweki Click to expand... Mkuu, kiprotokali kwenye haya matani huwa hatutaji majina. Shauri yako ikitokea moto ukakuwakia mi simooo
Kashaija72 said: Mkuu Mimi ni wa mkoani. Dom sipaelewi na reymage mwenyewe haeleweki Click to expand... Mkuu, kiprotokali kwenye haya matani huwa hatutaji majina. Shauri yako ikitokea moto ukakuwakia mi simooo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,976 NaddySL said: Kazi ya Mungu haina makosa Click to expand... Na kazi yake ni amini na kweli Na alituumba kukamilishana Mungu ni mkuu sana.
NaddySL said: Kazi ya Mungu haina makosa Click to expand... Na kazi yake ni amini na kweli Na alituumba kukamilishana Mungu ni mkuu sana.
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Mar 13, 2022 #158,977 Mjep said: Baba mchungaji Click to expand... Simjui
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 13, 2022 #158,978 Wigelekelo said: Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli Click to expand... Eeh dhambi ipi wakati nasema kweli?
Wigelekelo said: Acha dhambi bhas Wewe ma mchungaji wa kusema Maneno hayo kweli Click to expand... Eeh dhambi ipi wakati nasema kweli?
Heaven Sent JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 32,717 Reaction score 98,376 Mar 13, 2022 #158,979 Wigelekelo said: Inabidi tu Iwe tu kama musa Alivyoona shingo Huenda nasi tukasema imetosha Lakini tuone Click to expand... Aaah weee
Wigelekelo said: Inabidi tu Iwe tu kama musa Alivyoona shingo Huenda nasi tukasema imetosha Lakini tuone Click to expand... Aaah weee
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,417 Mar 13, 2022 #158,980 Mjep said: Baba mchungaji Click to expand... Baba Mchungaji tangu apigwe na kitu kizito siku ile kwenye kahawa Mlimani City hajawa sawa. Bado anahitaji maombi
Mjep said: Baba mchungaji Click to expand... Baba Mchungaji tangu apigwe na kitu kizito siku ile kwenye kahawa Mlimani City hajawa sawa. Bado anahitaji maombi