Ile clip ninayo kabisaaaaaa, mda wote naitazama,
Namfatilia sana Rose Shaboka, aliniacha hoi, eti mume wake alimpata chuo kikuu UDSM mlimani, alipomtongoza hakukataa wala nn alitoa no yake hapo hapo, uwiiiiiii
Hebu kwan kesho niende ibadani kwake, kawa kungwi wangu. Woiiiiiiih.
Sent from my Infinix X652C using
JamiiForums mobile app