Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,552
Una mzigo wa kuvunja chagaSikuhizi Usiku nakula ndizi mbivu 2 na kipande cha parachichi tu na maji mengiiiiii nalala!
Chakula nakula kiduchuuuu... sema matunda kwa wingi na vegetables... nataka kuwa potabo kama cocastic au @LizzyView attachment 2148383
Achaga uongo wako, madukani kote zipo, wee nenda hata kwa mawakala wadogo wadogo wanakua na vocha, za halotel utume PM kwangu.Nielekeze nikanunue wapi mana nimezitafuta sana
Good for you. Wengine wanaogopaga kupungua wakihofia Msambwanda kuyeyuka.Sikuhizi Usiku nakula ndizi mbivu 2 na kipande cha parachichi tu na maji mengiiiiii nalala!
Chakula nakula kiduchuuuu... sema matunda kwa wingi na vegetables... nataka kuwa potabo kama cocastic au @LizzyView attachment 2148383
Daaaaah kusudi hiiSikuhizi Usiku nakula ndizi mbivu 2 na kipande cha parachichi tu na maji mengiiiiii nalala!
Chakula nakula kiduchuuuu... sema matunda kwa wingi na vegetables... nataka kuwa potabo kama cocastic au @LizzyView attachment 2148383
Utatuma selfika ataebahatika abarikiwe nawe uzidishiwe mablessings rafiki!🙏🙏Promise!.. I will fulfill my promise!.nimejaribu kuuliza vocha wanasema wanarusha tu sijui mnanunulia wapi hizo vocha!
Ile siku nimesimama zaidi ya mawakala watatu wote wanasema wanarusha tuAchaga uongo wako, madukani kote zipo, wee nenda hata kwa mawakala wadogo wadogo wanakua na vocha, za halotel utume PM kwangu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Akishindwa Kutuma niambieAchaga uongo wako, madukani kote zipo, wee nenda hata kwa mawakala wadogo wadogo wanakua na vocha, za halotel utume PM kwangu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nafanyaje mkuu
Lect acha uongo wee, maduka gan hakna vocha? Kwa mangi je? Wee nenda madukani ulizia vocha utapata, utupe sie hapa lol.Ile siku nimesimama zaidi ya mawakala watatu wote wanasema wanarusha tu
Nipe maujanja
Lect acha uongo wee, maduka gan hakna vocha? Kwa mangi je? Wee nenda madukani ulizia vocha utapata, utupe sie hapa lol.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tuma # Yako pm nafanya chapu, Sinaga ahadi mbovu Darling.wee tuma ya kwako, naye atatuma yake. Au vipi?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Ndyooooh maduka yote vocha zipo, usilete sababu zisizo na mashiko hapa, tuma vocha, ila za halotel tuma PM kwangu.
Sijui kwanini umeshindwa kunielewaNdyooooh maduka yote vocha zipo, usilete sababu zisizo na mashiko hapa, tuma vocha, ila za halotel tuma PM kwangu.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Lect a u serious? UwiiiiiihNimekupata mkuu haya tumeni namba zenu PM niwarushiecocastic