Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Saint Anne kuja huku we kajamaa uone mwanaume kaweka tatu kambani MANCHESTER IS RED
JamiiForums-180233103.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo weekend, nlikua na mie naenjoy maisha, wee baki na uchoyo wako, [emoji57][emoji57][emoji57]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Imagine..hata vocha tu akatunyima .Eti ile siku yetu duniani aliagiza mtu vocha hadi wa leo! [emoji134]! lect hafai kabisa yani!!
 
Imagine..hata vocha tu akatunyima .Eti ile siku yetu duniani aliagiza mtu vocha hadi wa leo! [emoji134]! lect hafai kabisa yani!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni mpare huyu? Khaaaaah nlimuonaga n mzungu kumbe sasa woiiiiiiiih, hebu nikae kimya tyuuh mie. Khaaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Sikuhizi Usiku nakula ndizi mbivu 2 na kipande cha parachichi tu na maji mengiiiiii nalala!
Chakula nakula kiduchuuuu... sema matunda kwa wingi na vegetables... nataka kuwa potabo kama cocastic au @LizzyView attachment 2148383
Watu weuweeeeeeeee kabla hujawa portable, mie nipe msambwanda huo shouzzzzzzz, plz hebu achaa kupoteza rasilimali adhimu wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom