Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Boss unajua kuiipendelea, basi tu. Ngoja nikachemshe mihogo yanguKaribu kwanzaa staff wangu 😊😊View attachment 2147965
Boss unajua kuiipendelea, basi tu. Ngoja nikachemshe mihogo yanguKaribu kwanzaa staff wangu 😊😊View attachment 2147965
😀😀😀 kaishasema nitamyamyasa na nitamyanyasa sanaaa tu..9.8ms squared atakua ameishuhudia live ngoja tumuombe akusimulie ilivyokua
Unanitamanisha eeh na mihogo mitamu 😒😒Boss unajua kuiipendelea, basi tu. Ngoja nikachemshe mihogo yangu
Aah navipatia wapi kwanza?Hivi ndo vitu vyake mama mchungaji
mambo yake haya.. anapenda sanaaa 😀😀Hivi ndo vitu vyake mama mchungaji
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yakeUnanitamanisha eeh na mihogo mitamu 😒😒
Mhurumie tafadhali, maana selfie kakosa na vitu vizuri vikimpita sabato yake itaharibika😀😀😀 kaishasema nitamyamyasa na nitamyanyasa sanaaa tu..
Kesho ntafunga na kuomba kwa ajili yako🤣Mhurumie tafadhali, maana selfie kakosa na vitu vizuri vikimpita sabato yake itaharibika
Tumchangie mama mchungaji akajitoe na weekend iwe njema kwake
acha mambo yako.. 😀😀Aah navipatia wapi kwanza?
Amina 🙏🙏🙏Kesho ntafunga na kuomba kwa ajili yako🤣
Huku kijijini kwetu labda ninywe togaacha mambo yako.. 😀😀
huyu ana kitu chake special jumatatu 😀😀😀Mhurumie tafadhali, maana selfie kakosa na vitu vizuri vikimpita sabato yake itaharibika
Tumchangie mama mchungaji akajitoe na weekend iwe njema kwake
ahaaa yamekuwa hayo tena ☺️☺️☺️Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Weuweeeehuyu ana kitu chake special jumatatu 😀😀😀
Eeh wewe si unakunywa kwa mrija, Mimi natafuna mihogoahaaa yamekuwa hayo tena ☺️☺️☺️
nzuri tu dadaa 😊
Picha ya kanga imenipita Boss Lady. Nifanyie wepesi ikiwezekana [emoji16]Lol asante sana rafiki.... vipo simpo mulemulee nakopendaga afu bora umenikumbushaaa
Nipo shos nimekosa selfie yako jamanimahondaw shouzzzzz uko wapiiiiii? Nimekumiss naumwaaaah jomoneeeeh, [emoji25][emoji25][emoji25]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app