Papo vizuri sana
Afadhali, maana zile fujo za mlimani hakuna mahali Tanzania zipo
Hivi mbona hamtumi picha?
Lushoto pako poa sanaDah... Home is best
Una stress gani?Nashtua tu mbili tatu kutoa stress
We utakuwa mrombo wewe maana ni walevi wale watu[emoji134][emoji134]Ndio zotee zakwetuu
Hivi unajua sijaona picha yako hata moja (ndiyo ni lazima nione[emoji23][emoji23])Hivi mbona hamtumi picha?
Una stress gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi unajua sijaona picha yako hata moja (ndiyo ni lazima nione[emoji23][emoji23])
Ila seriously Atoto kweli unanifanyia hivi yaani unavizia nikitoka ndiyo utume halafu nikija nakuta umefuta daah, na wewe do the needful basi kama cute b alifuta huku ila akaja kunitumia pm (najua yule ni cute b na wewe ni Atoto[emoji3][emoji3]) fanya fanya basi makeke utupie hayo mapicha hapo fasi ya pm arifu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]aiseKuna bibi yangu alikuwa anaita chai isiyo na sukari "sturungi"
We utakuwa mrombo wewe maana ni walevi wale watu[emoji134][emoji134]
Pole sana mdogo wangu.Acha tu..
@karma
Duuh!. Mkuu mbona mimi naona bonge la JI-NEMBE?[emoji85][emoji85]jamani kuna watoto wa kiume mmejaaliwa miguu mnatuzidi hadi dada zenu maana kuna watoto wa kike tuna vistulungi[emoji23][emoji23]
Marangu napapenda, pana hali ya hewa nzuri. Mwanangu kaolewa huko.Hapana mimi mmarangu..rombo majirani zangu
Pole sana mdogo wangu.
Sasa hapo unazipunguza au unazihairisha kwa muda?
Marangu napapenda, pana hali ya hewa nzuri. Mwanangu kaolewa huko.
Semegi tuma picha bwana.