Usitufanyie hivi mkuuKaribu dear tushushie na hiiView attachment 2147775
Jitutumue na selfie yako basi uubariki mchana huu wa sabato takatifu ya bwana
Usitufanyie hivi mkuuKaribu dear tushushie na hiiView attachment 2147775
Ahsanteee, but situmiii hivyoo. [emoji8][emoji8][emoji8]Karibu dear tushushie na hiiView attachment 2147775
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si kasha selfika hapo? Au?Mshawishi dada mkubwa Nuzulati aselfike mkuu
Kitu kipo mkuu tena kitu kweli kweliMbona hamna kitu hapo
Nyau we mi sio kaka yako..😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] teynaaaaaaaaah haya nitusi basi tapeli mie lol, kaka angu wa ukweli, KENZY km KENZY. hahahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Misosi nimemwambia amuachie lizzy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si kasha selfika hapo? Au?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hilo tusi? Au nisubiri mengine?Nyau we mi sio kaka yako..[emoji41]
Pua Kama jipu!
Hebu wee weka yakooo selfie bas lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Misosi nimemwambia amuachie lizzy
Picha yako tu nimeikosa duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeh sana, eti kipenziiii Tinsley weka tena aone huyu hapa. Hahah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Tumemiss selfie yako dada mkubwa tafadhali mkuuSio kila kitu ni cha kujibu why aulize kwangu mbona wengine wanatuma kila siku picha za chakula haulizi
Kuna namna tu yaani linaleta upako. Vitenge vya kushona tu🤣🤣🤣🤣Kwani lile la zamani lilikuwaje jamani nkamu [emoji2][emoji2]
Vitenge vya nini [emoji3][emoji3]
Usijar dea ntakupa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Picha yako tu nimeikosa duh
Takudunda na macho yako Kama pilipili hoho![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo hilo tusi? Au nisubiri mengine?
Wee n mjomba angu? Uwiiiiiiih
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Nikijisikia kusefika nitaweka si kwa kuniambia mtu nami nifanyeTumemiss selfie yako dada mkubwa tafadhali mkuu
Ooh thanksUsijar dea ntakupa [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwan wasikupangie, hebu tuma misosi sie tushibe kwa macho. Awwww [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Sio kila kitu ni cha kujibu why aulize kwangu mbona wengine wanatuma kila siku picha za chakula haulizi
Nipo mkuu
Usichukie dada mkubwa tafadhali sambaza upendoNikijisikia kusefika nitaweka si kwa kuniambia mtu nami nifanye
Nkamu Ina maana yale matamko ya baraka nilikutamkia burebure?,🤣🤣🤣🤣Tumemiss selfie yako dada mkubwa tafadhali mkuu