cocastic tafadhali fanya kama unavyoombwa hapa na dada mkubwaa





imeishaaaaah hiyoooooh. Asante kwa muongozo
Hebu weka selfie yako nkuone dearAsante kwa muongozo




Mimi sisemi, dada mkubwa Nuzulati ndiye kashuhudia mimi sijui hata ni nini kilikua najaribu kufuta macho nione vizuri nikaambulia manyoya
NuzulatiAsante kwa muongozo
Ongeza ushawishi kidogo dada yetu aselfike tafadhali Nuzulati
Mimi sisemi, dada mkubwa Nuzulati ndiye kashuhudia mimi sijui hata ni nini kilikua najaribu kufuta macho nione vizuri nikaambulia manyoya







sikuwezi wee mvegelaji woiiiiiiii. Hizi mavitu muachie Lizzy wewe selfika picha yako mkuu
Uwiiiiiiih hadi minyoooo inaruka ruka tumboni,





Nuzulati njoo utoe majibu mujarabu kwa kaka mkubwa hapaHivi huu uzi ni wachakula au selfie..??
Ushawishi upi tena sasa jomoneee? Lol.Ongeza ushawishi kidogo dada yetu aselfike tafadhali Nuzulati




Wewe tapeli ninamitusi nawewe basi tu!
Mshawishi dada mkubwa Nuzulati aselfike mkuu
Wewe tapeli ninamitusi nawewe basi tu!





teynaaaaaaaaah haya nitusi basi tapeli mie lol, kaka angu wa ukweli, KENZY km KENZY. hahahah