Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,404
Aongee na walevi wenzake[emoji2]Tena atupishe kabisaaa, huo umombo akiwa nao yeye inatosha. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyooooohAongee na walevi wenzake[emoji2]
Sisi hatutaki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoooooh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Mxieeeew 😂🚶🏻♀️🚶🏻♀️Poaaaaaah jioni uktoka kazini. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa nn? Au unataka nije hadi hapo ofisini? Vipi kuna wakaka wazuri wazuri? Huenda ntajipatia kichwa ki1. uwiiiiiiihMxieeeew [emoji23][emoji2212][emoji2212]
Shostee na ubuyuu 😜😜😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoooooh
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anadhan yupo huko Columbia university, kumbe yuko Bongo land college. HahahahSisi hatutaki
Atusamehe sisi, atusamehe sana,atusamehe sisi.
Ukionana nae mpe KvantKijenge round about
Shosteeeeeh wee unanitenga tyuuh, ila freh nipe huo ubuyuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shostee na ubuyuu [emoji12][emoji12][emoji12]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lect wee ni mzushi bhana, au mie ndo sina bahat? JD na ndinga kmyaaaaah, hebu sahihisha huko mitihani hatutaki uharibu desa za watu, afu ujaze sup kibao, kumbe umesahihisha haraka haraka uwiiiiih. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kwa hizo dimpoz juice inakuja [emoji4]Kuna kazi hapa haiishi, sijui ndio inaniondolea mood.
Em mwambie ex wako afanye delivery ya juice [emoji485]
Jack Palladino
Mmh mbali sana huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakunywa bingwa na balimi, kitoko, na valour.Ukionana nae mpe Kvant
☺️☺️ sikutengii hata shosteee.. jana na mie nimemaliza exam.. hapa ni mwendo wa bata batani hadi wachawi waokoke... naziunganisha picha shoste ubuyu bilanpicha haunogi.. tena ubuyu wa zanzibarShosteeeeeh wee unanitenga tyuuh, ila freh nipe huo ubuyuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoooooh mnajaza sup kibao, kumbe mnasahihisha haraka haraka, afu tukiomba msaada wa kurenew tokeo, utasikia "vipi una siri? Tufanye hivi". Khaaaah tufanye hivi ya nyokooooooh lol[emoji28][emoji28][emoji28]
Mama malezi wee haya bhana, hebu post vidole mie niridhike bas. [emoji7][emoji7][emoji7]Mmh mbali sana huku
Hahahah exam ya Masters shostieeeee? Hongeraaa mwayaaa, haya nasubir kwa hamu huo ubuyuuuh jomoneeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3526][emoji3526] sikutengii hata shosteee.. jana na mie nimemaliza exam.. hapa ni mwendo wa bata batani hadi wachawi waokoke... naziunganisha picha shoste ubuyu bilanpicha haunogi.. tena ubuyu wa zanzibar