Tafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha
Tafuta sana kuwa na Mungu
Tunza sana uwepo wa Mungu
Maana huo ni ufunguo wa maisha yako
Ameahidi atakupatia
Ukimwomba lolote
Omba sana uwepo wa Mungu maishani mwako (halleluyah)
Sent using
Jamii Forums mobile app