Will do 😊😉Aisee hongera ,keep inspiring us ...
Soda zipo addictive mno , unaweza kuta unakunywa hata tatu kwa siku .
Mie nikienda mjini lazima nipate ka juice au ice cream kwanza nipooze koo 😅 .
Huwa naskip lunch hivyo ikifika jioni njaa kama yote hapo inabidi nile chakula kingi nishibe wakati sio healthy kabisa..
Sasa sikia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️ nishatuma mjue!!
Ndiiiiiooo!! utamsimulia na Satoh Hirosh saivi sina kesi naeza lala 😴😴😴Sasa sikia
Isiwe na marudio
Mimi nashusha mgazeti wangu hapa
Wakija wasome wapate mixed feelings
Tuwachekeeee
😘😘😘🤩🤩😘😘😘♥️🤣🤣🤣🤣🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐I was the only guy who saw the eyes of the earthqueke !
Ooh Thanks for the helpful advice !Will do 😊😉
😆😆😆 Na hilo joto linavyoshawishi kunywa vitu baridi sio poa kabisa!!!
Ila ishu ya jioni unaweza ukawa unakula matunda ukirudi tu nyumbani ili muda wa chakula ukifika usiwe na njaa sana. Pia mchana....matunda yapo mengi sana sasa hivi, badala ya kuskip jumla...kula hata kaembe/ndizi/nanasi huko mizungukoni kuepuka hako ka bad habit.🙂
Nitamwambia wallahNdiiiiiooo!! utamsimulia na Satoh Hirosh saivi sina kesi naeza lala 😴😴😴
EwaahWe ukinywa soda zako tatu Tinsley anywe zake fresh juice.
Irudiwe Irudiweee irudiweeeeeNitamwambia wallah
Yan mm uwa napenda sana macho,
Dada una jicho la kike 😍🥰
Una jicho lile la kuongea lenyewe ‘beb am hot
Sipati picha ukishapata ka glass ka mvinyo 😜
hahahaaa....Nitamwambia wallah
Yan mm uwa napenda sana macho,
Dada una jicho la kike 😍🥰
Una jicho lile la kuongea lenyewe ‘beb am hot
Sipati picha ukishapata ka glass ka mvinyo 😜
Na wewe usisahau kutubariki mkuu
HaibishaniwiWe ukinywa soda zako tatu Tinsley anywe zake fresh juice.
Weka picha mwanetuMamalai
Nini mbaya
Tena[emoji848]
Sina picha mpya kwa kweliNa wewe usisahau kutubariki mkuu
Irudiwe Irudiweee irudiweeeee
MamsiWeka picha mwanetu
Isingizie tu 🤣hahahaaa....
mngejua kamera inanisevu uwiiii
WeeeMamsi
Ya chuga
Angalia hiyo jina
Hapo juu
Sasa hiyo sura
Itakuwaje aani