Barikiwa sana mama mchungaji!Huo sijawahi kuupost hapa. Ngoja ntakupigia picha yake. Utakufaa sana madam
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji85][emoji85] [emoji125][emoji125]Manini?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah sijui kwanini na mimi sipati hii bahati asee [emoji3064][emoji3064]Endelea kuimba mapambio. Nabonyeza kule delete for everyone sasa hivi
Vyuo vingi vya bongo mazingira yake ya entrance yanafanana [emoji849][emoji849]Heaven Sent acha niwahi exam [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2145453
Dah sijui kwanini na mimi sipati hii bahati asee [emoji3064][emoji3064]
Marahaba mama mchungajiShkamoo Mjep
Hivi unafundisha wapi nije kusoma[emoji2088]
Let us fly better 🤗
You might…..?!! Au nikuache kwanza 😁
OohLol nipeleke taratibu kwanza. Mi mzee ujue? But I can dig it 😉
Usiwaze uzuri unanijua kwenye kuselfika sijibaniii [emoji12][emoji12]Ukishashona utupostie
Hakuna mshono unakukataa boss ledi[emoji173][emoji108]
Labda uwe mdogo wetuMtakatifu@Saint Anne Huyu mwenye skin tight mwambie Mimi nipo tayari kuwa kaka wa hiari.
Hunaga uswahili kabisaUsiwaze uzuri unanijua kwenye kuselfika sijibaniii [emoji12][emoji12]
Hao wenzio wamejileta kwenye uzi wetu tangu jana.on behalf of all chelsea fans
Tunaomba mtupe nafasi ya kupumua nyie mashabiki wa vilabu vingine.
Popote alipo shabiki wa chelsea naomba asisemwe [emoji41]
SA ukinijibu nakupiga [emoji1787]
Oh kumbe mitaa ya nyumbani kabisaMarahaba mama mchungaji
Njoo chuo cha maendeleo ya wananchi Nzovywe uongeze maarifa mdogo wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkamu bana. Hana Cha bahati yoyote; si unaona anakujaga kulialia huku na yeye.
Btw usisahau una surprise yako ya kufungia mwaka
Mimi sitaki manenoHao wenzio wamejileta kwenye uzi wetu tangu jana.
Tupo kuwasimanga[emoji1787]
Kasoro nilichosomaVyuo vingi vya bongo mazingira yake ya entrance yanafanana [emoji849][emoji849]