Kazi isiyo na stress kiiivooo... usipojisikia kufundisha unawapa wanaandika notes tu ndio ushaingia class lakini....
Ukiwa na stress zako kipindi kizima unawapa zoezi tu ndio ushaingia class hivo
unakaa zako nyuma ya darasa nakuwaambia tu acheni kelele
!
View attachment 2145326