Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,509
- 235,214
Duh!Sijui kanatumia majani. Kamechachuka sana leo
Yaani majani yenu ya Jana mmenigeuzia kibao Mimi kuwa natumia?[emoji3]
Duh!Sijui kanatumia majani. Kamechachuka sana leo
[emoji23]Leo umempa nini mama mchungaji[emoji28]
Mkininyima wote naondoka jf[emoji19]Ngoja waiwahi wenzio
36406673015997Asante Mjep
Leo watu wamenihurumia wameniachia
Nipo hapa the don night club.. hapo nilikuwa kona pale wanapo kula kina mamaaa yoyoooo.. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]nimeamishiwa kuwa mwalimu huku
Kamji kakiwaki sana, sema nakaa kule kilimani ndio kunanipa burdan.. ukiamka asubuhi lile wingu na ukungu na milio ya ndege na manyani ile green.. nakuwa kama nipo mbinguni vile.. tunapambani makombe na waturuki 😀😀😀Aisee ila pako fresh mji fulani hivi umetulia..
Ndio umehamishiwa kikazi huko boss
[emoji23][emoji23][emoji23], thought it was humorousMara hii ushaanza kuleta hivi vibonzo blaza!! Anniversary ya 60yrz utafika umechoka kinyama
We acha tu yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Mtamu kwenye sekta nyeti[emoji28]Mtamu wa nini tena my valentina [emoji257]
Mhuuu! 🙂Ooh! Thanks rafiki bila shaka utakuwa na pair kadhaa pia..
Mtamu kwenye sekta nyeti[emoji28]
Asante36406673015997
Wamekuhurumia wanajua wewe ni last born[emoji23]
Tunasubiri uselfike tu sasa
Naahhh...not today 🥴🥴Yam yam [emoji39] mkono wako huu bila shaka