Selfika na JF: Snap it. Show it

Huu uzi bwana dah!

Yaani ukiondoka dakika moja tu unakuta watu wanasifia lips, shingo, viuno, misambwanda dah!

Ukisema ukae hapa napo wakati mwingine hakuna kitu yaani. Ni shida!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndyoooooooooh shouzzzzzzzh [emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Inauma sana kukuta mtu anasifiwa mzuri halafu hukuthubutu kuuona uzuri/picha yake

Dada yangu kipenzi mzuri Heaven Sent sijawahi kuthubutu kukutwa na picha yako nakuta unasifiwa tu

Fanya wepesi mkuu
Mkuu huyo akikuwekea nitaweka familia yangu yote bila imoj.

Huyo anawekaga kama kimbunga, na harudiagi. Wanaomtingaga sana anawapelekea pm, hao ni wadada tuu.

Halafu unaweza usimuone akichangia saa nne mpaka saa nane usiku, hata umtagi hajibu, jiroge utupie picha, anakuquote anakwambia asante usiku mwema.
Heaven Sent njoo ubishee
 
Maputooo.
 
Afadhali nimeambulia kakitu. Kutoka kapa aibuu. Thanks Boss lady. You never disappoint [emoji91][emoji91][emoji91][emoji8]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna huwa anaapost sana mama malezi. Huna bahati naye.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…