Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,777
Mi nazitaka hizo hizo..We nijaze tuuu!!
Nisharudii shamba sasa
Tena ndo vizuri uwe unatupa za shamba halafu unatupiga na za town
Mi nazitaka hizo hizo..We nijaze tuuu!!
Nisharudii shamba sasa
Hapo kuna namba ya sim nineshindwa kujua namba ya mwisho ni ngapiHome not alone. Kila mtu naona anadanganya home alone mi siwezi kudanganya kwakweliView attachment 1244952
Tulia hapo hapoMi nazitaka hizo hizo..
Tena ndo vizuri uwe unatupa za shamba halafu unatupiga na za town
Usingizi ulikupeleka kwaoMmmhhh
HahahahaAfadhalii uache jamani!!
Leo karibu ulale huku uswahilini kwetu siku hizi joto kali tunalala inje.Na simu mkuu
Niko nasubiriTulia hapo hapo
Wewe uliniacha mwenyewe jamaniUsingizi ulikupeleka kwao
EwaaaNiko nasubiri
Nitakuja mimi jamaniLeo karibu ulale huku uswahilini kwetu siku hizi joto kali tunalala inje.
Nikuandalie nini!?Nitakuja mimi jamani
Hapana si unaona hata tweet zimejibiwa asubuhi ulilalaWewe uliniacha mwenyewe jamani
Fanya uwe unakesha humu mkuuKila nikiingia humu nakuta picha zimefutwa..not good guys
Mirinda nyeusi na kekiNikuandalie nini!?