Selfika na JF: Snap it. Show it

Uuuh can't wait
 
😁😁😁 nachapa mwendo sijui kesho naelekea Arusha sijui wapi naswampa kama mbwa karamba miguu
Hata kama unachapa mwendo ndugu yangu kipara mdogo ndo umsahau mdogo wako kwenye women's day wishes?

Ataambia nini wanajamvi sasa?

Anyway, naambiwa hapa hii siku ilikua ifanyike tangu last sunday,

Wanawake wakachelewa kwenye make-up na vitu kama hivyo

Ndo wameonekana leo
 
😁😁😁 huyo anakitu chake special ana wishes zake special kabisa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…