Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Mweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.Dogoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nakumis sanaaa!!!!mnooooo!!!uko busy nawadaiz!!
Eehh!!!alidhani sitapendwa tena!!!!sasa napendwa mpk naogopa atii!!afu nanenepaa mnooo!!!!
Duh tutafika mbinguni tumechoka sanaHahahaaaa. Unapendwa haswaaaaa mkwe wangu. Mie naelekea kuwa singo nimechokaaaaa
Kaka ako hajapita bado?Yale maguruwe pori yatakuwa yanaona wivu tu ninavyokula Bata hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](natania)
Tafadhali sanaIgweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.
Naona kuna dalili za mtoto wa mwanamke fulani kuwekwa kwenye bango mwaka huu.
Afu mbona unaniamsha nianze kuandika magazeti leo jamani? Kupatwa kwa mndali
Siyo tu kula dagaa pekeyake!Hizi ndiyo snacks zetu watu wa mikoani
Hakuna cha sijui crisps, biscuits, wala popcorns
Vijana wa dar hawawezi kula dagaa hivi peke yakeView attachment 2143459
Watu wa bara utawajua tu[emoji28]Siyo tu kula dagaa pekeyake!
Kula dagaa hata na ugali,bora nibubune maharage.
Hizo bangi 😩😩Hatupulizagi sijakuelewa mpenzi
Happy women's day kwa yule mama aiseeIgweee Igweee Igweee Igweee Igweee Igweee.
Naona kuna dalili za mtoto wa mwanamke fulani kuwekwa kwenye bango mwaka huu.
Afu mbona unaniamsha nianze kuandika magazeti leo jamani? Kupatwa kwa mndali
Tena milimani uyole huko ambako hakuna dagaa.Watu wa bara utawajua tu[emoji28]
Sijui kameenda wapi..Kaka ako hajapita bado?
😂😂Hizo bangi 😩😩
Hivi mbona mimi huniandikiagi magazeti?[emoji85]Mweeh nikahisi nimeanza kupoteza memory nikajisemea mbona leo sio Valentine's day; kumbe sijapoteza bana.
Enjoy binamu yangu mwaya; ni baraka sana kupenda unapopendwa; namaanisha. Sio Kila mtu amepata nafasi ya kuexperience "mapenzi" ya kweli in lifetime. And the wisest part of you ni kwamba uliamua kumuachilia aliyetaka kuondoka; ukaamua kusamehe na kuendelea mbele; hukubeba uchungu, hasira wala kinyongo. Ungeendelea kumshikilia leo hii ukabeba mauchungu na mahasira yake; hata Mungu akuletea Malaika ungempoteza tu kwa sababu usingeweza kuuona weka/uzuri wake upo busy unawashikilia watu waliokwisha ondoka kwenye maisha yako.
Mshukuru Mungu sana kwa neema ya msamaha; coz for a fact hakuna watu wagumu kudeal nao kwenye mahusiano kama Divorcees; majority wanaishi na bitterness na wapo so frustrated; kwa sababu mioyo yao imejawa na majeraha bado; but see you have come to accept everything finally and move in peace. Aisee uendelee kuvunjaga na hilo agano la ndoa yako iliyopita lisije likanena/kwenda kinyume na ndoa yako mpya. Love is a very beautiful thing; enjoy bina
Nyie si Wa kishuaSiyo tu kula dagaa pekeyake!
Kula dagaa hata na ugali,bora nibubune maharage.
Hivi kuna watu bado mnanunuaga Vocha!? 😳[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bas sawa usijar, vipi sasa selfie yako mie nasubir hapa, na vocha pia. Utume hapa leo.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wa kishua gani wa ileje ndanindani!Nyie si Wa kishua
Abeeeeeeee. Shikamoo mama mkweHappy women's day kwa yule mama aisee
Alichoropoa kitu perfect yaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naam shem, hujambo tena? unafaa kusalimiwa mara 4 kwa siku (minimum)Sijambo Shem ake, uko poa?
Utetezi baadaye kwanza; mahaba yameshanivuruga akiliTafadhali sana
Nimekuita unitetee kesi yangu kwa binamu yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ya kupita bila kumsalimia.
Sijakuita ulete igwe zako aiseee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usitoke nje ya mada.