Selfika na JF: Snap it. Show it


Hayo "manguruwepori" hayo yalishamaliza kazi yaliyotumwa kuifanya - kukuandaa na kukuweka tayari. Usingekuwa hivyo ulivyo leo bila ya hayo manguruwe pori. Ungewezaje kuujua upendo wa kweli bila kupitia kwa hayo manguruwe pori? Almasi yawezaje kuwa yenye thamani, imara na yenye kung'ara sana bila kupita katika moto mkali na mgandamizo wa kutisha?
 
Hahahaaaa. Unapendwa haswaaaaa mkwe wangu. Mie naelekea kuwa singo nimechokaaaaa
 
Dogoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]nakumis sanaaa!!!!mnooooo!!!uko busy nawadaiz!!
Eehh!!!alidhani sitapendwa tena!!!!sasa napendwa mpk naogopa atii!!afu nanenepaa mnooo!!!!
Oooh shem!

Msamehe tu na kumwachilia huyo Msukuma boya. Unafikiri hata huko aliko ana amani basi? Si ajabu anapambana na "manguruwe pori" mpaka anaomba poo. Kuna wenza wa kweli ukiwapoteza maishani basi ndo imekula kwako mazima. Yanabakia majuto tu...Ilishanitokea shem na inauma sana!

Wewe ponda raha na Nshomile wako na senene zake za Italy. Maisha menyewe mafupi ati!
 
Nawee unae nguruwe pori wako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Yale maguruwe pori yatakuwa yanaona wivu tu ninavyokula Bata hapa duniani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](natania)
 
Yah ni kweli mkuu
Sometimes mtu anapita sehemu ili kuandaliwa kupokea yaliyo mema.

Wengi huwa hawajui,,,kumbe Mungu anaandaa mtu aweze kuwa bora kabla hajapokea kilicho bora,maana ukipokea kilicho bora mapema kabla hujajiandaa nankugundua kuwa ni bora pengine usingekithamini kama unavyokithamini ulipopokea Kwa wakati sahihi.
 
Uko sahihi kabisaa shemeji yangu!!kila jaribu lina funzo kuubwa sana!ndo maana ktk maisha yangu sijawahi juta ktk mahusiano!naimani shilling ina pande mbili!
 
Nawee unae nguruwe pori wako? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Wanaume leo tumeitwa nguruwepori - jina baya kabisa na lenye kudhalilisha sana dah! Wanaume tunakwama wapi?

Njooni tukae kikao tujadili hili suala aisee maana siyo poa! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Wasikie walipoo[emoji2][emoji2][emoji2]
Huna pa kujitetea in short una tabia mbayaa!![emoji6][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]staki mtu akuteteeee
 
[emoji38][emoji38] usikute hata hawazi kama alikuwa na mtu...

Tupunguze hasira...maisha ndo haya haya...[emoji16][emoji16]
 
Wasikie walipoo[emoji2][emoji2][emoji2]
Huna pa kujitetea in short una tabia mbayaa!![emoji6][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]staki mtu akuteteeee
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Nguruwe poriii [emoji108][emoji108][emoji108][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alikufanyaga Nini Hilo guruwe jamani!
Yaani dada mpole kama wewe Kuna guruwe la pori lilikuletea utopolo???



...
Ngoja HS aje atanitetea[emoji1787][emoji1787]
 
Naam mkuu! Kila mtu anayepita maishani mwetu ana kazi yake. Ukilitambua hili hutamng'ang'ania mtu abakie maishani mwako ilhali pengine kazi aliyotumwa kuitimiza keshaimaliza. Yote ni kumshukuru Mungu tu na kusonga mbele.

"Nguruwepori" hoyeee !!! [emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji2][emoji2][emoji2]Shem wangu wa ukweli ahsante sana na ubarikiwe mnoo kwa maneno mazuri!
Ubarikiwe sana!nshasamehe nshasahau kwa sasa nakula kipupwee!!!maisha yanaendelea!!!yeye anahaha hukoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…