Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,208
- 29,344
Kumbe picha inaweza kukukosesha na kukupatia mchumba eeh[emoji848][emoji848]Ile ndo ilkua bombaaaah, ilinifanya na mie nikimbilie ktk katuni, na nashkuru nikaopoa km mawazo yangu yalivyotaka,
Itafute tena ile DP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Naomba ukae kikao na Depal mnitafutie na Mimi picha Kali ya handsome boy niibandike ili na Mimi nianze kuwavua samaki[emoji39]