Badae nawewe Fanya ofa ya vocha mjeda walau hio wish itafika vizuri! utatupia humuhumu vocha aina zote ke ataeipata bahati yake!Happy womens day kwa wadada.wamama ,mabinti wote JF . NAWAKUBALI NAWAPENDA SANA. FURAHIEN SIKU YENU
NB: Leo ofa msiweke emoj kwa sura
Pendeza sanaaaaa..🤩🤩🤩
Hahaha...nilikuwa najaribishia kuingiza ili nijiamishe fika kuwa ni kweli hii vocha inaingia/haijatumika.cocastic mchawi wako huyu hapaaa.. !!!
T 1990 ELY leo siku yetu wanawake tufanyie wepesi hata wa vocha tu mkuu! fanya kama Mjep wee tupia hapahapa!
Good morning!
Hivi kweli nimekula vocha ya mwanaume mwenzangu...Huoni aibu unakula voucher ya mwanaume mwenzio
Si ungevunga wanawake wawahi?
Aahaah
Mithiyuuu
Sawausiwaze..... mkuu hapa tuchitchat t
kusogeza masaa!!
NB: mkumbuke Leo siku yetu lakini!🥱
Sio Saivi mkuu badae mida yetu ile wanawake wengi wengi wakiwepo... usiweke saivi jamani!!Sawa
Nawafanyia wepesi kaa mkao wa kula mkuu si unanijua tena mimi laki si pesa million hela ya chai
Sawa mkuu ila muweke picha bila kujiziba/ficha chochote kile mtakachoweka humu/hapaSio Saivi mkuu badae mida yetu ile wanawake wengi wengi wakiwepo... usiweke saivi jamani!!
Mkuu kumbe ulikuwepo wakati huo kumbe
Toa hiyo emoj boss
Pole! That's why I asked coz I know getting a half-decent 🍔 around here is nearly impossible.Honestly, it was nothing to write home about.
Something wasn’t right about the patty. It was mushy and bland. It was falling apart all over the place.
The bacon was great, though.
I could tell they are not used to making burgers…
Nimeingiza muda si mrefu mkuu toka umeiweka imedumu muda/masaa mengi sijui humu hakuna anayetumia HalotelMkuu kumbe ulikuwepo wakati huo kumbe
Hii ukwasi fund ikoje?reymage kuna hiyo moja mfano kwa muda wa miaka 10 ww umejicommit kuchangia 50 millions, ikatokea lifetime yako duniani ikawa 2yrs tokea umeannza kuchangia ukadanja.. basi mrithi wako atapewa zake 50 millions regardless weee mnufaika Ulikuwa hujazitimiza.
Fursa iliyoje kwa wale wanaoweza kujitoa muhanga, baba unajitoa muhanga unaacha mama atajirike
Hii kima cha chini cha uchangiani ni 2m kwa robo kwaka
Kuna nyingine ina cover na bima ya mazishi kwa mnufaika, bima ya maisha ‘ mnufaika akipata ulemavu wa kudumu
Kuna ya mashirika/kampuni za kuanzia 100m huko
But for me ukwasi fund is the best
Nimeiona hiyo Simply Fresh. I might give it a try…Pole! That's why I asked coz I know getting a half-decent 🍔 around here is nearly impossible.
There is this joint called Simply Fresh...and this ka-small place at Kariakoo that serves up owwkey burgers....the rest of what I've tried are just.....crap!!😬😬
HahahaHivi kweli nimekula vocha ya mwanaume mwenzangu...
Mmechelewa kuwahi
Nairudisha aiseeeeee!!
Umenimiss wapi wewe uongo tu ila haya ni maisha tu mkuu(akhsante kwa kunimiss)