Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha kweli Kilimanjaro Lager zimepotea kiaina siku hizi japo huku mtaani kwetu bado zinauzwa. Nadhani ni kwa sababu ya hii mpya Kilimanjaro Light iliyoingia juzi kati ni kama wanaitafutia soko hivyo wanaipoteza hiyo Lager makusudi ili Light iuze kwa wingi.

Ila Kili haijaifikia Balimi kwa kupotea asee. Sasa hivi Dar sehemu nyingi kama si zote Balimi hakuna na ukiulizia watu wanakushangaa wanasema hizo bia za wakulima siku hizi huku mjini hazipo utazipata mikoani na maeneo kama Dom nilizikuta kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…