Ngoja tumuite aje aselfika sasa hivi maana huu ndiyo muda muafaka siyo asubiri ulale ndo apost Heaven Sent kuna ujumbe wako hapa popote ulipo tafadhali jongea hapa nkamu
Tafadhali nakuomba kwa niaba ya wanyaki
Uselfike wakati huu wamelalamika sana unawatenga
Naomba niwaite Saint AnneKarma njooni huku amekujaa kuselfikaa
Tafadhali nakuomba kwa niaba ya wanyaki
Uselfike wakati huu wamelalamika sana unawatenga
Naomba niwaite Saint AnneKarma njooni huku amekujaa kuselfikaa