Kama vile Mungu alivyomuita Jeremiah , hivyo hivyo anawez kutumia wale wanaomuamini na anaweza mtumia mtu yoyote yule ,endapo tuta submit ourselves tuweze kutumika na yeye .
Kama vile Mungu alivyomuita Jeremiah , hivyo hivyo anawez kutumia wale wanaomuamini na anaweza mtumia mtu yoyote yule ,endapo tuta submit ourselves tuweze kutumika na yeye .
mahondaw dear ili kupambana na kitambi jitahidi uache vinywaji vyenye Sukari nyingi...usiku jitahidi Sana ule matunda kama wali mara moja moja .. asubuhi tumia chai yenye mchanganyiko wa unga wa majani ya machungwa..tangwaizi..karafuu na pilipili manga kidogo..kwenye maji..vugu weka na asali kidogo kunywa na jioni pia nusu saa kabla ya kulala..π