Tinsley JF-Expert Member Joined Nov 16, 2020 Posts 14,590 Reaction score 38,225 Mar 6, 2022 #154,601 Wigelekelo said: Tatizo hiyo lugha Rafiki Click to expand... Ooh sawa rafiki Inaelezea kwa ufupi kitabu cha Jeremiah .. Soma Jeremiah 1:5 ukipata muda pia
Wigelekelo said: Tatizo hiyo lugha Rafiki Click to expand... Ooh sawa rafiki Inaelezea kwa ufupi kitabu cha Jeremiah .. Soma Jeremiah 1:5 ukipata muda pia
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,624 Mar 6, 2022 #154,602 Niambieni kama hamna picha nikalale tu, siku hizi napitwa sana!
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Mar 6, 2022 #154,603 Selfika...........
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 6, 2022 #154,604 Tinsley said: Ooh sawa rafiki Inaelezea kwa ufupi kitabu cha Jeremiah .. Soma Jeremiah 1:5 ukipata muda pia Click to expand... Biblia yangu Haina jeremiah Lakini Yeremia 1:5 Inasema; Kabla sijakuumba katika tumbo Nalikujua Na kabla hujatoka tumboni Nalikutakasa nimekuweka kuwa nabii wa mataifa
Tinsley said: Ooh sawa rafiki Inaelezea kwa ufupi kitabu cha Jeremiah .. Soma Jeremiah 1:5 ukipata muda pia Click to expand... Biblia yangu Haina jeremiah Lakini Yeremia 1:5 Inasema; Kabla sijakuumba katika tumbo Nalikujua Na kabla hujatoka tumboni Nalikutakasa nimekuweka kuwa nabii wa mataifa
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,786 Reaction score 4,128 Mar 6, 2022 #154,605 Mjep said: Selfika........... View attachment 2141583 Click to expand... Uzidishiwe ulikopunguza mkuu. 👍
Mjep said: Selfika........... View attachment 2141583 Click to expand... Uzidishiwe ulikopunguza mkuu. 👍
M Mjep JF-Expert Member Joined Oct 28, 2014 Posts 11,721 Reaction score 34,880 Mar 6, 2022 #154,606 Zimba XXV said: View attachment 2141586 Click to expand... Hongera sana mkuu 🙏🙏🙏
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Mar 6, 2022 #154,607 Zimba XXV said: View attachment 2141586 Click to expand... Hadi wewe mweh!!!!!!!!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,608 mahondaw said: Niache shos! unaniua mbavu hukuuuuuuu!!!! Click to expand... kweli iv yaan
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,609 Heaven Sent said: Ajali kazini Click to expand...
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,610 Heaven Sent said: RespectView attachment 2141493 Click to expand... Wacha wee.
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 6, 2022 #154,611 mahondaw said: Hadi wewe mweh!!!!!!!!! Click to expand... Huyu coca Mbona anatufanya mazombie Watu tunasubiri weee Mbona hivi lakini
mahondaw said: Hadi wewe mweh!!!!!!!!! Click to expand... Huyu coca Mbona anatufanya mazombie Watu tunasubiri weee Mbona hivi lakini
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,612 Ntuyadili said: Unapenda sana kuni-enjoy, sio! cocastic Click to expand... kwani uongo nawee? Khaaah uko full package mkaka wa watu lol
Ntuyadili said: Unapenda sana kuni-enjoy, sio! cocastic Click to expand... kwani uongo nawee? Khaaah uko full package mkaka wa watu lol
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,009 Reaction score 177,315 Mar 6, 2022 #154,613 Wigelekelo said: Huyu coca Mbona anatufanya mazombie Watu tunasubiri weee Mbona hivi lakini Click to expand... Ameshakuja mkuu usiwaze!!!
Wigelekelo said: Huyu coca Mbona anatufanya mazombie Watu tunasubiri weee Mbona hivi lakini Click to expand... Ameshakuja mkuu usiwaze!!!
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,614 Wigelekelo said: Kulewa ndio kukoje Click to expand... Sijui mie
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 6, 2022 #154,615 cocastic said: Wacha wee. Click to expand... Tufanyie wepesi Mbona kutuchomesha
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,616 Saint Anne said: Mwee Click to expand... Kweli iv cc
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,617 Mshana Jr said: View attachment 2141505 Click to expand... Khaaaaah?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,159 Reaction score 181,303 Mar 6, 2022 #154,618 Ntuyadili said: Mifupa ina umuhimu sana. Ni wachache ndo tunajua hili. Wacha niweke alarm kabisa Click to expand... upoooo?
Ntuyadili said: Mifupa ina umuhimu sana. Ni wachache ndo tunajua hili. Wacha niweke alarm kabisa Click to expand... upoooo?
Zimba XXV JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 1,786 Reaction score 4,128 Mar 6, 2022 #154,619 Kama utani nimechukua hichi kibonyezeo changu nikaizingiza hizo no nikijua mtakua mmeshaniwahi nyie wakeshaji wa selfika kumbe bahati ipo upande wangu😀😀
Kama utani nimechukua hichi kibonyezeo changu nikaizingiza hizo no nikijua mtakua mmeshaniwahi nyie wakeshaji wa selfika kumbe bahati ipo upande wangu😀😀
Wigelekelo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2018 Posts 8,765 Reaction score 26,901 Mar 6, 2022 #154,620 cocastic said: Sijui mie Click to expand... Ukiambiwa hizo ni juice Uelewe