Ndio nilifanya hivi weeehh mbona wangeniokota !! Nilitembea step kadhaaa nikaona kabisa huku nakoelekea siko nikabadiliUwe unabeba na flats. Ukihiwi umeanza kuchoka unagonga flats miguu inarelax
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo mdogo tu uta_master. Afu ni vyema ukianza na mid heels kwanzaNdio nilifanya hivi weeehh mbona wangeniokota !! Nilitembea step kadhaaa nikaona kabisa huku nakoelekea siko nikabadili
Unapenda sana kuni-enjoy, sio! π cocasticOooooh hallelujah, afu kuna mdada hapokei cm zake, anadai na ya kutolea, anajinunisha, uwiiiiiiiih khaaaaah, hadi macho yameanza kuwa makengeza ghafla. Mweeeeh
Eeeh????Wewe at least Nina imani na mwili wako
Munishi[emoji119]
Mwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suka na rasta bhana, mie ndo nmezoea kukuona hivyo.
Kulewa ndio kukoje[emoji1787][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee leo uko na mie tyuuh? Muone vile ushalewa hapo, na bado kipigo cha city woiiiiih
Aise! Mkuu hujai-save hii unipasie? Nimeambulia manyoya.Unahitaji kuwa na pesa
Kumiliki huu mgodi
Unahitajika kuwa mimi
Kukata kiu ya huu mgodi
Maisha ndio yalivyo
Kuna wafia timu wa kuitwa Jack Palladino ,Darmian na billdragoWamejikausha kama hawachezi hivi.. uwatoe tuu wavu wa ine hukoo
TatizoAise! Mkuu hujai-save hii unipasie? Nimeambulia manyoya.
Mifupa ina umuhimu sana. Ni wachache ndo tunajua hili.Watu na nyama zao duniani hapa, sie wa mifupa tukae kwa kutulia tyuuh,
Wacha niweke alarm kabisa4 na nusu hapa nalipua [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ!! matumizi ya badae!Tatizo
Hairuhusiwi
Nnayo kwa matumizi ya baadae
Sasa ni saa 22:044 na nusu hapa nalipua [emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]
Interesting [emoji3590]
Uko kwenye Diet Mkuu? Hongera
Tayari Mkuu, nimemtumia kupitia MoneyGram πππππMtumie japo kwa simu
Tayari Mkuu, pitia Kwa Wakala wa MoneyGram hapo Mlimani City uchukue Jacky Daniels yako π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya kwa namna ingine nipate hiyo JD. mzee wa tiaraaaaeeeeiiii.
Dah hebu ngoja nifanye mpango niwe mteja wako wa kudumuWewe tu [emoji6]
Btw...hiyo sehemu unayokula upepo ni wapi?[emoji849]