yaan anabiringika km hataki, naye n bonge hivyo, nyama zinalamba tiles tyuuh, baadae ye mwenyew kaanza kucheka, yaan km furushi la mzigo linasererekan tyuuh

Naomba training ya kutembelea high heels... jana nilitia aibu 🤣🤣🤣😜😜!! Badae ntaselfika uone nivokua natembelea ukutani yani bila kushika ukuta/ Kitu utacheka ufeeee🤣🤣!!