Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
ππππ nilikaa na msela alafu msela anisemesha kila saa hata kama nimelalaUsikute umekaa na mshikaji pembeni,
Me uwa natanguliza elfu 5 Kwa mkata tiketi anipange na pini,
Acha ubahili
Ni nchi gani haujakaa?ππNimekaa sana Russia baridi la mbeya kitu gani mamaaaaaa Heaven Sent
ππππ umeona eeh.. mbeya jotoo kabisa huwa nashinda kifua waziNi nchi gani haujakaa?ππ
Sitaki kabisa kucheka leoππππ umeona eeh.. mbeya jotoo kabisa huwa nashinda kifua wazi
furahii maamaaaa pastaaa Heaven SentSitaki kabisa kucheka leo
Nahisi hajaishi Niue tuNi nchi gani haujakaa?[emoji849][emoji849]
Nimegoma kucheka leofurahii maamaaaa pastaaa Heaven Sent
View attachment 2140134
Karibu Dar es salaam
Mdogo ako mnawezana wenyeweNahisi hajaishi Niue tu
Ooh!!kumbe upo karibu mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] zile zenye magonjwa yako nyemelezi...
Umetisha sana
Nashukuru sa a chief, Bariadi nitakaribia tena hivi karibuni kwa sasa niko hapa Malampaka
Dahπ πsi mpenzi wetu ππ
Wapi hapa mkuu
Nipo hapa counter, [emoji23][emoji23][emoji23]Nitamwambia, wewe umekaa pande zipi nikupige round [emoji1635]