Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Hujawahi kuijua moroNitaulizia wataalamu wa Nguzo Camp wanielekeze halafu nitaanzia operesheni yangu ya kukusaka nikiwa hapo. Nikifika huko Kingolwila, Cate Hotel, soko la karibu na mzumbe na hilo la Kingalu na nyumba kadhaa za ibada mbona ntakudabua MamaMchungaji? [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji849]1m cash
Ukiona mawakalaAhsante mwaya, Ndo nilkua mgeni na ile stand wakati huo, yaan wana fujo pale walinivuta na kunizonga afu wanapiga kelele za kushangilia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi hiyo lect? [emoji23][emoji23]
pendeza sanaaaaa[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiko kishundu nakitolea wapi? Walikua wanashangilia mambo yao tyuuh, mie walikua wanani vuta na kunizonga aaaah.Ukiona mawakala
Wanashangilia na kupiga mbija
Ujue wewe sio wa kawaida
Swali
Una kishundu[emoji848]
Rangi ya mtume umeiona shouzzz? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pendeza sanaaaaa[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Maeneo haya nimeokoteza hapo juu we na mabaharia wenzio ndo mmeyataja. Moro kwa kweli sipafahamu kabisa mbali na kupita tu na gari moshi enzi za shule katikati ya miaka ya 60.Hujawahi kuijua moro
Lakini unataja maeneo
Kama mwenyeji [emoji1787][emoji1787]
Ikoloye umetisha[emoji119][emoji119]
Thanks mrembopendeza sanaaaaa[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
Umeniweka sana getiniWapi hiyo lect? [emoji23][emoji23]
Bahati iliyoje jamani.
Unasemaje Wige?[emoji849]
Nice shoes.
Kumekuchaaa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Muongo wee hata haupo, nmekaa sana hapo nje nlkua na marafiki tunapiga story, nshatoka now hapo.Umeniweka sana getini
Expensive place, [emoji7][emoji7][emoji7]
Kakuelewa 😎😎Unasemaje Wige?