Acha uongo wako wee, ya siku ile hukuona? Had ukataka ya kipensi? Na siku nliyotuma ya kipensi hukuepo ukapitwa, haya wee weka yako tuone hata miguu tyuuh.
Atingwe wapi? Aache atingwe na wazungu huko kwake km alivyosema yeye leo kaona mzungu wa kinyaki, na ataleta mrejesho lol.
Wee Shimba Ya Buyenze babuuuh usisahau mrejesho kesho.