Mimi hii wiki ni mtihani. Nafunga Kwaresima labda mambo yatabadilika. Yasipobadilika nahamia kwenye upagani. Si kwa kukosa neema za Allah huku kunakoniandama wallahi!
Mi sina jipya Boss Lady. Na uzee huu wa miaka 76 hata nikiselfika hakuna lo lote la maana. Nipo hapa najisomea huku nikiangalia neema za Allah zikiogelea...Muumba fundi sana yaani!