Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mi nilishaweka hapa zikakaa mwezi mzima...
Na wewe nikiondoka tu ndo utaselfika. Hata sijui mna maana gani nyinyi watu. Mnakera mpaka basi yaani [emoji16][emoji16]
Mi nilishaweka hapa zikakaa mwezi mzima...
Muombe ruhusa nipost hapa kwa niaba yake alafu nifute, tumekosa nyingine amepost akafuta chap
Aah Mtumishi wewe huyo uselfike picha kwa mwezi mzima mmmhMi nilishaweka hapa zikakaa mwezi mzima...
Na wewe nikiondoka tu ndo utaselfika. Hata sijui mna maana gani nyinyi watu. Mnakera mpaka basi yaani [emoji16][emoji16]
Hapana kamanda. Siyo siriazi kivile unless kama ni za mpepetano wa Nguzo Camp. Otherwise ni sawa tu. Kuna siku nami nitazibahatisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]Muombe ruhusa nipost hapa kwa niaba yake alafu nifute, tumekosa nyingine amepost akafuta chap
Za nguzo camp tumuombe mama mchungaji Heaven Sent atuwekee hapa yeye ndiye anazo mkuuHapana kamanda. Siyo siriazi kivile unless kama ni za mpepetano wa Nguzo Camp. Otherwise ni sawa tu. Kuna siku nami nitasibahatisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Yaani weweHapana kamanda. Siyo siriazi kivile unless kama ni za mpepetano wa Nguzo Camp. Otherwise ni sawa tu. Kuna siku nami nitasibahatisha tu [emoji16][emoji16][emoji16]
Nilishazifuta nkamuZa nguzo camp tumuombe mama mchungaji Heaven Sent atuwekee hapa yeye ndiye anazo mkuu
Mara moja tu Ile mkesha wa mwaka mpya lol!! na sema ilikaaa muda ukifuta alfajiri huko!😜Mi nilishaweka hapa zikakaa mwezi mzima...
Na wewe nikiondoka tu ndo utaselfika. Hata sijui mna maana gani nyinyi watu. Mnakera mpaka basi yaani [emoji16][emoji16]
Aiseee haiwezekaniNilishazifuta nkamu
Impossibleeeeee[emoji28][emoji28]Aiseee haiwezekani
Anyway iko siku nikukuta huko live, utashangaa nakupa mkono kukusabahi "hello mqdam Heaven Sent ..." [emoji1666]
Siku mkikutana huko msisahau kutuselfisha bana. Ila kwa uzembe wangu hata hizo nazo zitanipita dah!Aiseee haiwezekani
Anyway iko siku nikukuta huko live, utashangaa nakupa mkono kukusabahi "hello mqdam Heaven Sent ..." [emoji1666]
Uje nikupeleke na weweSiku mkikutana huko msisahau kutuselfisha bana. Ila kwa uzembe wangu hata hizo nazo zitanipita dah!
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yaan usingizi hauji kabisaa. Lol
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] yaan usingizi hauji kabisaa. Lol
Bia tamu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama kuna vita tusiache kunywa bia jamaniView attachment 2133410
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweli.My Sons Legacy mkuu fanya kutubariki na selfii jamani![emoji849]!! umekua kama mkwepu jr sema bora mkwepu alishatupiaga humu!
Yaan wee acha tyuuh. [emoji24][emoji24][emoji24]Poleni sana wana simbaa 🪛🪛🪛🪛🪛🪛🪛[emoji12][emoji12][emoji12]
Nitakuja kweli ohooo!Uje nikupeleke na wewe